Hihihiii, Mie nilibebwa sana tu enzi zangu.
Ngosha enzi hizo napiga Punk la nguvu kichwani, Totoz zote zinanipapatikia.
Ukiongeza na huku kupanda juu kidogo, aka Mwanawane, kubebwa kwa sana tu.
Huyo kijana angelikuwa anajua lugha, na yeye USIKU angelibebwa. Tena ile ya tufungane kanga, hihihiii......