Who cares

Who cares

Huyu sio yule aliyegombea ubunge wa Afrika Mashariki halafu mwiishoni akajitoa baada ya mambo kuwa magumu?
 
ila lets be honest hawa ni wanafunzi wanaotoka kwenye shule zetu zinazo endeshwa na hawa walimu wenye mgomo baridi usiokoma.... na la kushangaza ni kwamba hata serikali yetu hailioni hili kwamba watoto wanatoka ni mabogas kabisa..! mtoto yuko darasa la saba hawajui kusoma wala kuandika... wewe unasema unawalimu au unawatu walio enda kupumzika shuleni na kugeuza watoto wafanyakazi wao.... mwalimu anakaa hapa kazi yake kuita watoto.. weweee nanii hebu njoo huku niletee chai ofisini... wewe naniii hebu kaninunulie chapati.. halafu mwambiea monita wa darasa la sita aje achukue notes awaandikie ubaoni..!!! hivi unadhani hapo kuna mwalimu au kuna jambazi...?????
 
hawa ndio wanafunzi tunaofuga kwenye shule zetu,,,,,,.....!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
da heck is the big behind mzeiyaaa mpaka mtoto anaitumia kama stepping stone
 
564149_363414187065212_1231105512_n.jpg
nikipata mtoto ningependa nimbebe hivihivi hehehehheheheh

Wajane wa kiume hawa sio bure.
 
maza ni noma kwenye line of fire yuko na ka beibe.. babaaaa
 
Huu ni ubunifu wa khali ya juu.
hapa ni hatari kweli kweli
 
hiyo niskrepa watoto wameweka viti wanachezea, japo kuna nchi masilini duniani haiwezekani kufikia hiyo hali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom