Who cares

huyu jamaa inaelekea kapiga lindo masaa 72 nonstop bila kufunga jicho na bila kutambua kuwa u cant beat feeeln, kudadak si usungizi ukambaka angalia sasa, atafutiwe chumvi amiminiwe mdomoni
 
ha ha ha haaaaaa Nimechangamsha mwili wangu kwa kucheka sana na hasira zote kutokana na maudhi ya konda zimeniisha! thank u mkuu!
 
Dadadadeeeeki wallah! hadi waandamane UK kwa niaba yetu,huku viongozi wetu Njegele hawajui lolote! SHAME ON ME!!
Umesahau lile tangazo la COCA COLA linavyosema "WAKATI DUNIA INAHANGAIKA NA MAISHA YAJAYO WAAFRIKA WANAKUNYWA COCA COLA!"TEHE TEHE!
 
Andamanese Mother

url


The Andamanese people are the various aboriginal inhabitants of the Andaman Islands, a district of India, located in the southeastern part of the Bay of Bengal.


The Andamanese are Anthropologically classified as Negritos, together with a few other isolated groups in Asia. They have a hunter-gatherer style of living and appear to have lived in substantial isolation for thousands of years. This degree of isolation is unequaled, except perhaps by the extinct aboriginal inhabitants of Tasmania.

url

The Andamanese are believed to be a relic of the migrations which, about 60,000 years ago, brought modern humans out of Africa to India and Southeast Asia.


By the end of the 18th century, when they first came into sustained contact with outsiders, there were estimated 7,000 Adamanese, divided into five major groups with mutually unintelligible languages. In the next century they were decimated by diseases, colonial troops, and loss of territory. Today there remain only approximately 400–450 of them; one group has long been extinct, and only two of the groups still maintain a steadfast independence, refusing most attempts at contact.
 
264969_2199470074951_218360_n.jpg
[/QUOTE]hongera kwa kucopy umejitahidi kuonyesha ufundi wako wa kucopy na kuchapisha nimeipenda hii, ile uliyo icopy huyu jamaa ni wa south africa
 
wake zao wana bahati,wanaume wa JF mjifunze na nyie kusaidia wake zenu at least jioni ikifika ukidai tunda kutakuwa hakuna kisingizio cha kuchoka.

Kitu cha kunote pia wote wanaonekana wanafuraha! Watu wenye mfumo dume sikuzote hawana furaha wala amani! Kuna mambo mengi sana ya kuzidadisi hizi picture. Maisha bora sio lazima hela wakati wote!
 
Lol! Kitambo ilitokea msiba Moshi, watu wamezunguka jeneza na kaburi. Candles zikakutana na perfumes zilizopuliziwa maiti, ikatokea kama explosion. Watu walikimbia hadi waliokuwa wameshikiliwa wakawapita washikiliaji!

MANGI, walitaka kumzima hela zake hawakumuekea kwenye jeneza. Duh imembidi azirudie..lol
 
Hapo naona demu kabebwa tuu. kitu cha kawaida. Hata mimi demu angu "Mmuungano" ningembeba tuu!
 
Lakini kuna kasoro katika hizo picha na thread nzima ambalo hata mimi limenikuta, naomba nisaidieni
kwanini picha zote inaonekana wababa wanawapenda watoto waKIKE? hapo waliobebwa wote ni wakike na huu mtindo kweli upo sijui kwako
Wakikua kidogo utasikia mtoto wa kike ni wa Baba na mtoto wa kiume ni wa Mama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom