Who cares

lol! Kitambo ilitokea msiba moshi, watu wamezunguka jeneza na kaburi. Candles zikakutana na perfumes zilizopuliziwa maiti, ikatokea kama explosion. Watu walikimbia hadi waliokuwa wameshikiliwa wakawapita washikiliaji!

lol......
 
Kwa nini walimu wa vijijini wasipewe motisha ili kuepuka swala zima la kukimbia fani?
 
Ama kweli kingereza kwa wabongo ni mthani kama mambo yenyewe ndo haya,kama ni kazi sasa basi.
 
Lol! Kitambo ilitokea msiba Moshi, watu wamezunguka jeneza na kaburi. Candles zikakutana na perfumes zilizopuliziwa maiti, ikatokea kama explosion. Watu walikimbia hadi waliokuwa wameshikiliwa wakawapita washikiliaji!

hahaaa hii kali
 
jamani mmenichekesha vibaya mno! Jamaa amekaa km kwenye mtumbwi dun nadhani kila mtu alishika pori lake
 
Lol! Kitambo ilitokea msiba Moshi, watu wamezunguka jeneza na kaburi. Candles zikakutana na perfumes zilizopuliziwa maiti, ikatokea kama explosion. Watu walikimbia hadi waliokuwa wameshikiliwa wakawapita washikiliaji!
Usinikumbushe mwaka 1994 nilihudhuria mazishi wilayani Mpanda,kitongoji cha Makanyagio, basi viongozi walipomaliza taratibu zote nakuwaandaa vijana kumbeba marehemu ili wamuhifadhi basi marehemu akapiga chafya kisha akainika akaanza kujifungua sanda, wewe zaidi ya watu 20 walilazwa hospitali sababu ya kuvunjika miguu maana ilikuwa hakuna kuuliza ukiona wa mbele yako ni mvivu wa kukimbia basi ni kumpitia tu.

Kwa wanaoijua vizuri Mpanda tulikuja kuulizana tupo Mwangaza Sekondari,e bana vipi amefufuka kweli au ni kiini macho.

Sasa ninachojiuliza mpaka leo ni kitu gani huwa kinawafanya watu wamkimbie marehemu inapojitokeza hali kama hiyo wakati walikuwa wanamlilia.
 
Du huyu askari wa Kisouth Africa kazi hana tena,yaani amelala fofofo na silaha ameiweka kando
 
Amepose apigwe picha akiwa na hiyo bunduki



Nitapingana na wewe mkuu,hali kama hii ni ya kawaida sana hasa kwa FARC Rebels wa Colombia au Tamil Tigers wa Sir Lanka,ambapo unakuta mwanamama anafanya kazi zote zilizo mbele yake na ulezi wa mtoto wala si kikwazo kwake,sio baadhi ya hawa wa kwetu,akijifungua kamoja tu basi atadeka mpaka atataka na vyombo umsaidie kuosha na ukikataa basi atadai house girl..
 
Mbuzi mzee wacha uzushi. Unaleta habari za ajabu ajabu......



Hapo mkuu Mbuzi Mzee hajaleta uzushi wowote hata kwetu yanatokea,niliwahi kukamatwa na kupumzishwa kituo kidogo cha polisi pale mwenge basi katika msako wao jamaa wakarudi na kachaso,wakajidunga usiku kucha kufikia asubuhi nikatoka kama natoka kwangu na hata kama ningekuwa na nia ya kubeba SMG zao ningeweza kuzibeba jamaa walikuwa fofofo..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom