SELF CARE

SELF CARE

Nchiyanguu

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2021
Posts
323
Reaction score
631
Habari za mchana wana jukwaa la Jf, poleni na jua kali la Dar….

Kuna kitu huwa kinanishangaza sana unakuta mtu anatafuta pesa kwa njia mbalimbali kama biashara, kuajiliwa nk lakini anasahau kitu cha msingi Self care….

Mfano unakuta mwanaume hana muda ata wa dakika 30 kwa siku kufanya mazoezi na kuweka mwili wake FIT.

Ukiuliza utasikia sababu ooh sitaki kujitesa wala kujiumiza, je huwa unawaza upande wa pili kuwa mazoezi ya dakika 30 tu kwa siku yanafaida nyingi mnoo ikiwemo kukukinga na magonjwa ambayo sio ya kuambukiza kama vile kisukari, pressure nk…

Ni vyema mtu ukiwa unatafuta pesa ukumbuke kuweka mwili wako FIT ili ufurahie matunda ya jasho lako.
 

Attachments

  • IMG_8722.jpeg
    IMG_8722.jpeg
    146.8 KB · Views: 1
  • IMG_8723.jpeg
    IMG_8723.jpeg
    186 KB · Views: 1
Back
Top Bottom