Guys were not safe, Maxence take care

Guys were not safe, Maxence take care

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,312
Reaction score
11,834
Aise mimi nimeamua kutake-care of myself mapema sanaaaa!

Hali si hali wakuu tupo hatarini kitekwa, kuteswa na kuuawa, tupo hatarini kuliko mjuavyo na tumetegwa kila PAHALA mpaka tunapojisaidia tumetegwa, unaweza ingia chohooni ukamezwa na choo, take care!

Maxence Mello take care Broo, you're in danger.
 
Aise Mimi nimeamua kutecare my self mapema sanaaaa

Hali si Hali wakuu tupo hatarini kitekwa,kufirwa na kuuwawa zaidi tupo hatarini kuliko mjuavyo na tumetegwa kila PAHALA mpaka tunaponyea tumetegegwa, unaweza ingia chohooni ukamezwa na chooo take care
Max Mello take care Broo your in danger.

Mbona unamtisha Boss wetu pendwa wa Jamii Forum.???

Kama umesikia wanataka kununua msaidie basi hayo yasitokee
 
Kwani yeye Max hajui? Mbona alisha sema wazi kuwa alitishwa na kuambiwa atafanywa vibaya, na wala hakutakua na kelele na kusahaulika kabisa.

Kila mtu ajishikilie, Tuko sehemu mbaya, na davoo yuko speed 150 kibatiiiiii.
😢😢😭😭
Sijaelewa hapa badala ya serikali ya Samia kupambana na UJINGA UMASKINI NA MARADHI

Eti ijke ipambane na sisi key board worrior

Saifi Leo, koleo la chuma, ndama jeuri, NALIA GWENA. E, .t.c basi hatuna serikali zaidi ya serikali MUFU
 
Sijaelewa hapa badala ya serikali ya Samia kupambana na UJINGA UMASKINI NA MARADHI

Eti ijke ipambane na sisi key board worrior

Saifi Leo, koleo la chuma, ndama jeuri, NALIA GWENA. E, .t.c basi hatuna serikali zaidi ya serikali MUFU

Funga mkanda Dr, 😂😂😂
 
Wewe fikiria ,wapumbavu wasio na akili wametoa order Chaula auawe ambaye hana madhara hata nusu ya punje ya haradali lakini ameuliwa inakuwaje kwa watu kama hao?
 
Back
Top Bottom