King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,726
- 68,741
Watumbuliwe tu hata kama ni PM.
Wewe unashindwa hata kuelewa kilichoandikwa hapo, utajuaje maana ya 'whisleblower', kunizidi mimi?Unajua maana ya whistleblower au umekuja JF 2017..?
Nasikia Polepole ana Ky jelly na Toilet Paper kwenye gheto lake ni kweli?Kipimo anatakiwa kuwa Lisu?
Hakuna msafi nchi hii aisee,hata PM?Sijawahi wala sitakaa nimfikirie Majaliwa kama mtu mwema kwa hili Taifa na watu wake. Mungu anisamehe ila namuona Majaliwa kama mtu mwenye roho mbaya, mnafiki, mzandiki na mwenye tamaa. Hajawahi kuwa mkweli kwa Taifa. Hata sasa namuona ndie masta mind wa anguko la Mama. Ana jionyesha kwake kama mtu mwema lakini hafai. Muda utaongea. Nani alijua yeye na Jenister ndio wako nyuma ya sakata la sukari? Bado ikija ya mafuta ya kula na mafuta ya gari utamkuta Majaliwa.
Tulimpigia Mama kelele aanze na safu yake akaona watu wana mfundisha kazi. Akabeba uchafu wa mwenda kuzimu. Sasa wazimu una mkuta. Amebaki kusema hato kubali wakati amesha kubali. Hata madudu yaliyopo bandarini ukifuatilia mkono wa Majaliwa upo. Makesi ya hovyo mahakamani Majaliwa yupo.. Say all evils lazima yupo..
Ukiona Mods hawajafuta uzi kama huu, basi ujue na wao teyari wana taarifa fulani au wanajua kinachoendelea.Waliopo kwenye hiyo chain wanatamani uzi ufutike. Mods mkifuta uzi tunaupandisha.
Katiba Mpya ni muhimu sana. Ili tusonge inabidi kunyonga watu.
Kilaza kinataka kipate Airtime kupitia mgongo wa mtu. Mwandiko wako tu unaonesha jinsi ulivyo-mtupuHuyu jamaa ni moja ya wahuni. Kaandika majungu. Yaani ungejua tangu mwanzo wa mradi na serikali ilivyokuwa makini kuhakikisha haiibiwi.
Mtazamo wangu ni huu: Mama anayajua yote haya ila hataki kuonekana anahusika. Hivyo, kinachofanyika ni kuzuga tu kuwa na yeye taarifa hizi ndio anazipata sasa kupitia hii barua.Nanukuu: "Hao mabwana wakamuhakikishia Magufuli kupata chake, naye akaingia tamaa"😁😁😁
Alieandika hii barua ni punguani kwa sababu hadi yeye ambae ni kapuku anapata taarifa hizi maana yake ni kwamba Rais wa nchi ambae ana intelijensia ya hali ya juu tayari ana taarifa hizi.
Rais anayajua yote haya ila anakula kimya kwa manufaa yake.Either na yeye anapata chake cha juu au anakaa kimya kulinda urais wake ambao hauna kibali cha wananchi.
Mwandika barua ungekuwa na akili badala ya kumwandikia Rais barua hii ulipaswa utuandikie sisi wananchi hii barua ambao ndiyo wenye nchi kisha utushauri kuwa tuiondoe CCM madarakani kwa nguvu kwa kuwa CCM ni mafisadi.Ungefanya haya ungekuwa na akili.
Sehemu kubwa ya wilaya za Morogoro ikiwemo Mvomero na Kilosa mashamba makubwa yanamilikiwa na viongozi wakubwa wa serikali ambao walijimikisha wakati wa awamu ya tatu ya serikaliHii ni nzito. Jumlisha kuwa mashamba pale mbigiri walichukua wazito halafu wamekodisha wakulima ambao ni wananchi wa kawaida.
Yaani ni uchafu juu ya uchafu
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app