Magufuli alikuwa bingwa wa kupindisha Sheria na taratibu. Hata viwanja vya ndege vilianza kusimamiwa na tanroads kipindi chakeTanroads na sukari vinaingilianaje?
Kaka binadamu kutiliwa mashaka ni jambo la kawaida. Tunaweza kushupalia KMK hahusiki kumbe yumo.When it comes to sugar Saga, waagizaji wa sukari lazima wawe wakali… ninyi ndio chanzo cha kupandisha bei ya sukari…. inafika hatua sasa mnaatack each and ever1, sina shaka na uzalendo wa Majaliwa ila naliona kundi la wapigaji wakimchafua huyu baba, yaan unasoma andiko unaona chuki kabisa.. zipo hoja ambazo umezisema ambazo Rais samia kama kiongozi aliyekuwa awamu ya 5 na sasa sita lazima anazijua, kama Saga lingekuwa kama ulivyosema basi Mama asingekaa kimya, acheni kuchonganisha viongozi acheni watu wafanye kazi. Hili ni andiko trash i ever seen this weekend. Mtoa hoja inaonekana ni mnufaika mkubwa wa ulanguzi wa Bidhaa ya Sukari, Rais Samia ameshatoa muelekeo kuhusu suala la sukari acheni viongozi wafanye kazi.
Duuuuh..na YAKAPITA?Yule majaliwa hafai kabisa sijui kwa Nini mama alikunaliana naye kuwa aendelee kuwa pm. Alivyonishangaza ni pale aliponiletea majina yake eti nihakikishe yanapita kipindi kile afasi za ualimu elfu 13 zimetangazwa. Mana yake anachikiongeaga Ni tofauti kabisa na anachokitenda. Yuko pale kwa ajiri ya kumuangusha mama. Mama ashtuke mapema
Uongo una mwisho...na UKWELI HATA UKIUFICHA CHINI BAHARINI KWENYE KINA KIREFU IPO SIKU UTAIBUKA...NA UTAJULIKANA TU...Fuatilieni hotuba ya Prof. Mkenda. Kilichopo ni capacity ya viwanda ni ndogo.
ushahidi wa nn wee boya. Hizi dili vyombo vya usalama wanazijua vzr sana . Hapa ni Kama wameamshwa tu wafanye kazi yao. Sababu wao wanafanya usalama wa CCM.Aisee ndiyo ushahidi wako huu.??
Hiyo kampeni yenye kuhusisha wadau wote lazima uwakute hao wapigaji wa CCMNimesoma kwa umakini mkubwa..between the line.
**Rais unaempelekea issue/kesi hii unafikiri hajui hayo yote?
Kesi ya nyani unapeleka kwa ngedere!
**Maoni yangu: tunasumbuka na hizi syndicates za CCM ambazo zinatofautiana tu kwenye maslahi,yaani ugomvi wa kimaslahi binafsi ndani ya CCM ndio unaopelekea tofauti za kifikra na hoja kinzani(Polepole&co.),Samia won't solve anything,she'll only make the matter worse by creating another deadly cartel!
**Solution: Kuondoa hali hii ya kupokezana uraji wa kifisadi na kelele za kimakundi ya kugombea uraji wa kimaslahi binafsi ni kuleta yafuatayo:
*Katiba mpya yenye mfumo mpya kabisa,eg.tume huru.
*Kuanzisha kampeni mpya yenye kuhusisha wadau wote bila kujali vyama ili kuwaondoa viongozi maslahi wote au CCM kwa ujumla,tuanze upya.
Enough is enough!
Samia hana jeuri ya kujitenga nao,ameshakula ndoano.Hiyo kampeni yenye kuhusisha wadau wote lazima uwakute hao wapigaji wa CCM
kujitenga nao ni sawa na kuukana ukoo wako na wanajamii wanaokuzungukaSamia hana jeuri ya kujitenga nao,ameshakula ndoano.
Hii ni kashfa nzito mno, hadi waziri mkuu kaguswa humu
Duh mkuu kwa hyo zile ajira 13elfu wanasiasa waliwawekea mashinikozo wapite watu waoYule majaliwa hafai kabisa sijui kwa Nini mama alikunaliana naye kuwa aendelee kuwa pm. Alivyonishangaza ni pale aliponiletea majina yake eti nihakikishe yanapita kipindi kile afasi za ualimu elfu 13 zimetangazwa. Mana yake anachikiongeaga Ni tofauti kabisa na anachokitenda. Yuko pale kwa ajiri ya kumuangusha mama. Mama ashtuke mapema
Pole Mkuu, Mchana mwema.ushahidi wa nn wee boya. Hizi dili vyombo vya usalama wanazijua vzr sana . Hapa ni Kama wameamshwa tu wafanye kazi yao. Sababu wao wanafanya usalama wa CCM.
Unataka ushahidi i humu mtandaoni
ili mjue namna ya kujipanga na uovu wenu huu.
Nchi imeshakwisha hii tumuombe Samia tu angalau awapambanie vijana vinginevyo akina majaliwa ndo wanazidi kuwakandamiza kabisa madkiniDuh mkuu kwa hyo zile ajira 13elfu wanasiasa waliwawekea mashinikozo wapite watu wao
Vp kuhusu Hawa watoto wa masikin ambao hawana wakuwashika mkono ?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
DuhNchi imeshakwisha hii tumuombe Samia tu angalau awapambanie vijana vinginevyo akina majaliwa ndo wanazidi kuwakandamiza kabisa madkini