wilbald
JF-Expert Member
- Dec 17, 2007
- 1,810
- 1,378
Nothing!shantel....hips don't lie!We kijana wewe??????
Nothing!shantel....hips don't lie!We kijana wewe??????
you will endup painting the wind.nawafatilia nyie watu
wo wo wo! the boss!gaga thanx
hiyo nyimbo dedication yako leo hii
from me
Threads za mapenzi zile za kuomba ushauri ndio zinazoboa bwana! Check hii ya Gaga inavyotupa raha!wo wo wo! the boss!juzi ulisema stread za mapenzi humu ndani zishakuchosha.nikakujibu KUWA U-reset your frequency then you will be in the truck.nashukuru ufuata ushauri wangu BOSS.
Acha uchoyohapo sasa.
mi napenda darasani niwe peke yangu tu lol
unajua bishanga, wakina dada huwa mara nyingi,
wanajiona wao ni good kisser kuliko wanaume,
sijui kwanini huwa wana mtizamo huo!!!!!!
Lakini kiukweli wao ndo huwa wanatuangusha sometimes,
wakina baba twaweza kukiss vizuri endapo
tunakutana na mdada anaejua kujiweka katika mkao ulio sahihi kabisa!!!
Asha ?Gaga naomba msije na hasira hapa..........................
Habari ya jumatatu wanajamii wote haswa wa MMU,
Jumatatu ya leo ningependa kuwapa dedication wale wote
wapendanao, na wenye mapenzi mema kwa wenza wao
Chek huu wimbo wa Shania Twain, kwa mie huwa nakumbuka
mbali sana, ni siku nyingi nilimpa la aziz wangu kama dedication
na yeye since then amekuwa akiusikiliza mara kwa mara apatapo nafasi
Naomba ku share na nyinyi
"When You Kiss Me"
This could be it, I think I'm in love
It's love this time
It just seems to fit, I think I'm in love
This love is mine
I can see you with me when I'm older
All my lonely night are finally over
You took the weight of the world off my
shoulders (the world just goes away)
[Chorus:]
Oh, when you kiss me
I know you miss me--
and when you're with me
The world just goes away
The way you hold me
The way you show me that you
adore me--oh, when you kiss me
Oh, yeah
You are the one, I think I'm in love
Life has begun
I can see the two of us together
I know I'm gonna be with you forever
Love couldn't be any better
[Repeat Chorus]
[Instrumental Solo]
I can see you with me when I'm older
All my lonely nights are finally over
You took the weight of the world off my
shoulders (the world just goes away)
[Repeat Chorus]
And when you kiss me
I know you miss me
Oh, the world just goes away
When you kiss me
Somo la usafi wa kinywa linahusu sana kwenye hii post.
Yawezekana ulifanya kosa....mwenzio labda alikuwa anataka kuhakiki kama unayo baioloji.....itakuwaje siku ya harusi ndo mnaingia honeymoon unamkuta mwenzio hana baioloji au ana baioloji mbili........ au ukute ana baioloji kama ya punda..........au ukute mtarimbo umelala doro........au ukute ana kibamia kama bamia ya bagamoyo iliyokosa samadi............hatarrr sana hii......bora utest kwanza banahalafu babu wewe? si ndio inatakiwa hivo halafu tunda mpaka harusi? au ni kosa nilifanya?
Na babu na mkongojo wake......panakuwa hapatoshikama namuona na vimapengo vyake
Hahahaha....tenda imesepa mtoto analalama..... wamemchukulia wajanja...Umemstukia mtoto huyu hakuchangamkia tenda eee
Rule no 1 says always the boss is right! then they follows several rules..........rule no.6 says if the boss is not right then go to rule no 1.Unachokonoa mkubwa wewe shauri yako
Pambana upeleke ugali home
Unajua ile Sminoff Vodka ya jana nisingechanga na lemon ingekuwa msala leo hapa kwa afisi.kitu remmy martin
ha ha ha... Gaga nishakujua saizi, na hii yoote ni morning glory umepata...
Thank you dear... At least anakumbuka the kiss ilivyo maana wengine
hawajui ku kiss (most wakaka wanafikiri ukiwa mtaalam kwenye 6 kwa 6 inatosha....lol)
Enways there a people wanajua kukiss bana!
baby, ivi gaga si ndo alisemaga huwa anasmile kwen gari the whole way akienda kazini ikiwa amepata the so called "morning glory" au vipi...