When You Kiss Me

When You Kiss Me

Seems Gaga had a 'Whaao' morning🙂) ha ha
Nice track..thanks for sharing bidada!!
 
Kama uko bush, nakushauri usikilize msondo.........hizi kitu kijijini huwa hazipigi
Hahahahahaha nimechukua maneno yake yatanipa faraja hata pesa ya kuprint hapa cafe ni ishu nimeamua kuandika na pen, maisha haya!!
 
Hili halina ubishi hata kidogo.
lakini me nadhani hadi mtu unafikia hatua ya kuwa qualify/disqualify wengine ktk hili
inamana ulisha kula kiss, sex n.k na watu wengi.na hapa ndipo tatizo linapoanzia
manake pengine pale unapokuja kuiishia hapako kama sehem fulani ulipowahi kupita au
sehem zote ulizowah kupita hazipo kama pale ulipo kwa wakati huo.

hapa sasa watu huanza kutaka kuona hayo yanayosifiwa yapoje.ndo mwanzo wa
kutoka nje ya ndoa na ndoa kuvunjika.
lazima ule kiss ndio ujue uzuri na ubaya wake, huwezi jua kabla
 
Bibi naye umri ushaenda, unataka apate kichomi....

ye zake ni:
Naringa hutamchukua mambo yangu yameshamzidia
Naringa hutamchukua mambo yangu yameshamzidia
Kaona mambo yako huku
Taarab imo , taarabu imo,
Kaona mambo yako huku...weeee!
Utaumiza roho yakoooo!

Huku akimtingishia babu makalio yake.......mbende mbende khanga moja....lakhi si pesa.

hayo mambo ya When You Kiss Me tumemwachia Matesha na Visharobaro vyake LOL........Hivi inamaanisha nini vile?
kama namuona na vimapengo vyake
 
Habari ya jumatatu wanajamii wote haswa wa MMU,
Jumatatu ya leo ningependa kuwapa dedication wale wote
wapendanao, na wenye mapenzi mema kwa wenza wao

Chek huu wimbo wa Shania Twain, kwa mie huwa nakumbuka
mbali sana, ni siku nyingi nilimpa la aziz wangu kama dedication
na yeye since then amekuwa akiusikiliza mara kwa mara apatapo nafasi

Naomba ku share na nyinyi



"When You Kiss Me"

This could be it, I think I'm in love
It's love this time
It just seems to fit, I think I'm in love
This love is mine

I can see you with me when I'm older
All my lonely night are finally over
You took the weight of the world off my
shoulders (the world just goes away)

[Chorus:]
Oh, when you kiss me

I know you miss me--
and when you're with me
The world just goes away
The way you hold me
The way you show me that you
adore me--oh, when you kiss me
Oh, yeah

You are the one, I think I'm in love
Life has begun

I can see the two of us together
I know I'm gonna be with you forever
Love couldn't be any better

[Repeat Chorus]

[Instrumental Solo]

I can see you with me when I'm older
All my lonely nights are finally over
You took the weight of the world off my
shoulders (the world just goes away)

[Repeat Chorus]

And when you kiss me
I know you miss me
Oh, the world just goes away
When you kiss me

I can see the two of us together
I know I'm gonna be with you forever
Love couldn't be any better
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom