When You Kiss Me

Gaga

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
4,558
1,968
Habari ya jumatatu wanajamii wote haswa wa MMU,
Jumatatu ya leo ningependa kuwapa dedication wale wote
wapendanao, na wenye mapenzi mema kwa wenza wao

Chek huu wimbo wa Shania Twain, kwa mie huwa nakumbuka
mbali sana, ni siku nyingi nilimpa la aziz wangu kama dedication
na yeye since then amekuwa akiusikiliza mara kwa mara apatapo nafasi

Naomba ku share na nyinyi

"When You Kiss Me"

This could be it, I think I'm in love
It's love this time
It just seems to fit, I think I'm in love
This love is mine

I can see you with me when I'm older
All my lonely night are finally over
You took the weight of the world off my
shoulders (the world just goes away)

[Chorus:]
Oh, when you kiss me

I know you miss me--
and when you're with me
The world just goes away
The way you hold me
The way you show me that you
adore me--oh, when you kiss me
Oh, yeah

You are the one, I think I'm in love
Life has begun

I can see the two of us together
I know I'm gonna be with you forever
Love couldn't be any better

[Repeat Chorus]

[Instrumental Solo]

I can see you with me when I'm older
All my lonely nights are finally over
You took the weight of the world off my
shoulders (the world just goes away)

[Repeat Chorus]

And when you kiss me
I know you miss me
Oh, the world just goes away
When you kiss me
 
ha ha ha... Gaga nishakujua saizi, na hii yoote ni morning glory umepata...

Thank you dear... At least anakumbuka the kiss ilivyo maana wengine
hawajui ku kiss (most wakaka wanafikiri ukiwa mtaalam kwenye 6 kwa 6 inatosha....lol)
Enways there a people wanajua kukiss bana!
 
Haya naona Asha hapa umetufungua macho wengine,
kumbe Gaga alikuwa anamaanisha hivyo?

BTW: Hivi wewe na Asha D ni mapacha eee?
 
Mmmh! Wacha wee unakumbuka na zile hickie? Thanx bwana 4 da nice song.
 
Haya naona Asha hapa umetufungua macho wengine,
kumbe Gaga alikuwa anamaanisha hivyo?

BTW: Hivi wewe na Asha D ni mapacha eee?

ha ha ha Bacha... ndo uzuri wa MMU.. ma infor kibao...
Bacha sorry kama bado hujabata taarifa, nime edit my user name...lol
 
ha ha ha... Gaga nishakujua saizi, na hii yoote ni morning glory umepata...

Thank you dear... At least anakumbuka the kiss ilivyo maana wengine
hawajui ku kiss (most wakaka wanafikiri ukiwa mtaalam kwenye 6 kwa 6 inatosha....lol)
Enways there a people wanajua kukiss bana!

mh! hii sasa kazi.
love/romance/lovemaking i.e mapenzi,/mahaba/kufanya mapenzi nk nako sasa kutakua professional/taaluma.
Me nadhani kubwa ni kumpenda tu yule ulienae.ka unampenda hata akitabasamtu unahisi raha
achilia mbali kukupa busu hatakama busu lake sio zuri.
 
Halafu wewe ulikuwa wapi siku zote hizi? kweli huu wimbo unani touch sana jaribu kutafuta usikilize,
yaaani kukiss kuna raha yake bana hasa mkikutana wote wataalam
 
Wewewewewe!!! Tasia utaalam ni jambo la muhimu sana kwenye sekta hiyo
 
Haya naona Asha hapa umetufungua macho wengine,
kumbe Gaga alikuwa anamaanisha hivyo?

BTW: Hivi wewe na Asha D ni mapacha eee?
Mhhh kwni huyu siye yule ashad?
 
mh! hii sasa kazi.
love/romance/lovemaking i.e mapenzi,/mahaba/kufanya mapenzi nk nako sasa kutakua professional/taaluma.
Me nadhani kubwa ni kumpenda tu yule ulienae.ka unampenda hata akitabasamtu unahisi raha
achilia mbali kukupa busu hatakama busu lake sio zuri.

Aisee Tasia 1... katika relationship hakuna la muhimu kama SEX
na makolombwezo yake kama kweli mwataka kufurahia mahusiano yenu..
mkikutana mko fit katika SEX na tabia ku blend.... Usipime!!
 
Halafu wewe ulikuwa wapi siku zote hizi? kweli huu wimbo unani touch sana jaribu kutafuta usikilize,
yaaani kukiss kuna raha yake bana hasa mkikutana wote wataalam

ha ha ha .... Gaga had some obstacles but all is good now....

Kiss wacha iitwe Kiss, ndo maana waweza kuta una a guy you
would want to kiss na kutosha wala hata msiende another stage...
huu uzi ngoja nikimbie maana nitaharibu...lol
 
ha ha ha Bacha... ndo uzuri wa MMU.. ma infor kibao...
Bacha sorry kama bado hujabata taarifa, nime edit my user name...lol

asante kwa taarifa dear........................!mi ilikuwa bado kujua hii maneno lol....
 
ha ha ha... Gaga nishakujua saizi, na hii yoote ni morning glory umepata...

Thank you dear... At least anakumbuka the kiss ilivyo maana wengine
hawajui ku kiss (most wakaka wanafikiri ukiwa mtaalam kwenye 6 kwa 6 inatosha....lol)
Enways there a people wanajua kukiss bana!
mmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
ha ha ha .... Gaga had some obstacles but all is good now....

Kiss wacha iitwe Kiss, ndo maana waweza kuta una a guy you
would want to kiss na kutosha wala hata msiende another stage...
huu uzi ngoja nikimbie maana nitaharibu...lol
Utaharibu nini mbona uko kwenye mstari, nitafutie BAK aniwekee youtube hapa ya huu wimbo watu wasikie
 
ha ha ha .... Gaga had some obstacles but all is good now....

Kiss wacha iitwe Kiss, ndo maana waweza kuta una a guy you
would want to kiss na kutosha wala hata msiende another stage...
huu uzi ngoja nikimbie maana nitaharibu...lol

Hivi Asha hebu niambie,
inakuwaje pale unapokuwa na mume/BF na unajua kabisa huyu kukiss fresh hajui,
lakini unakumbukumbu kabisa kuwa hapo nyuma uliwahi kuwa na good kisser..........
kuna siku akili inakutuma ukapate hiyo flash back?
 
Similar Discussions

17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom