When You Kiss Me

Gaga,

Mwanzo nilidhani unamaanisha huu wimbo chini. Asante kwa ku-post:

Last edited by a moderator:
Kumbe hili sredi linajadiliwa kwa kinyerere?

Nlivyoona taito iko kwa kiinglishi nikaisepa..........ndo mazara ya kusoma shule ya msingi Mbuyuni na kuishia standadi foo B.
 
Kumbe hili sredi linajadiliwa kwa kinyerere?

Nlivyoona taito iko kwa kiinglishi nikaisepa..........ndo mazara ya kusoma shule ya msingi Mbuyuni na kuishia standadi foo B.
Mi mwenyewe chi inglishi siwezi nakipenda tu kujishaua nacho, mwaga mapoint ushawahi sikiza wimbo huu kama hujawahi ujaribu then leta feedback
 
Mi mwenyewe chi inglishi siwezi nakipenda tu kujishaua nacho, mwaga mapoint ushawahi sikiza wimbo huu kama hujawahi ujaribu then leta feedback
Aaaaa wapi....na umri huu bongofleva nani ataziweza?..Nikiteguka ulimi?

Mi zangu ni

'Zuweeeena, ningempata wapi eh....zuweenaaa mwingine sawa na wewe
Mtoto aliyeumbika, mwenye tabia za kupendeza
Zuweena zuwena kweli nampeeendaaa!
 
Siku mojamoja unambadilishia bibi anajua mumewe nae anajua nyimbo za kidhungu bana
 
Siku mojamoja unambadilishia bibi anajua mumewe nae anajua nyimbo za kidhungu bana
Bibi naye umri ushaenda, unataka apate kichomi....

ye zake ni:
Naringa hutamchukua mambo yangu yameshamzidia
Naringa hutamchukua mambo yangu yameshamzidia
Kaona mambo yako huku
Taarab imo , taarabu imo,
Kaona mambo yako huku...weeee!
Utaumiza roho yakoooo!

Huku akimtingishia babu makalio yake.......mbende mbende khanga moja....lakhi si pesa.

hayo mambo ya When You Kiss Me tumemwachia Matesha na Visharobaro vyake LOL........Hivi inamaanisha nini vile?
 
ha ha ha .... Gaga had some obstacles but all is good now....

Kiss wacha iitwe Kiss, ndo maana waweza kuta una a guy you
would want to kiss na kutosha wala hata msiende another stage...
huu uzi ngoja nikimbie maana nitaharibu...lol
Kumbe kiss inachanganya wengi eee maana hata mie napenda sana mengine ni ya kufatia tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom