When You Kiss Me

When You Kiss Me

Yawezekana ulifanya kosa....mwenzio labda alikuwa anataka kuhakiki kama unayo baioloji.....itakuwaje siku ya harusi ndo mnaingia honeymoon unamkuta mwenzio hana baioloji au ana baioloji mbili........ au ukute ana baioloji kama ya punda..........au ukute mtarimbo umelala doro........au ukute ana kibamia kama bamia ya bagamoyo iliyokosa samadi............hatarrr sana hii......bora utest kwanza bana Na babu na mkongojo wake......panakuwa hapatoshi Hahahaha....tenda imesepa mtoto analalama..... wamemchukulia wajanja...
Habari yake 101....Kings paris!
 

...nice! ...wimbo umetulia na msg delivered aisee...pheeewww!
Gaga, ubarikiwe!



Chauro, acha uchuro bana! waturusha stimu ilhali toothpaste, mouthwash, na dental floss zimejaa madukani?


mhhhhh mbu, kuna wengine wanazipita kama hawazioni vile
 
Sweetie am shaking with fear, huyu mdada is always smiling let alone akipata morning glory...lol

now worry not she is just in one of her sweet moments..

I hope she is kind enough to acknowledge the role we MEN play in making her happier and happier.....everyday...lol
 
Unajifanya hukumbuki sio eeee, kwamba hii kiss nilivoipata kwenye morning glory ndio nikaja kuchekacheka humu na hii thread eeeee


Dear kama unakumbuka vizuri post yangu ya kwanza iligusia hilo...
na bahati ilioje Sweetie nae kakumbuka hivo shahidi tosha...lol
 
Dear kama unakumbuka vizuri post yangu ya kwanza iligusia hilo...
na bahati ilioje Sweetie nae kakumbuka hivo shahidi tosha...lol
Haya bana jumatatu ilikuwa siku nzuri sana nilikuwa nina raha raha tu
 
now worry not she is just in one of her sweet moments..

I hope she is kind enough to acknowledge the role we MEN play in making her happier and happier.....everyday...lol


Saizi relaxed kabisaaa!!! And of course she acknowledges... more than acknowledge in fact,
You can never piss off a satisfying smiling lady for she is always in control and relaxed..
Nilipoona the reproach I thot Dah! Shem hajagusa nini?? lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom