The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,611
nautafuta sasa hivi the boss, habari yako bana
habari safi
nimekosea jina ni faith hill
wimbo ni this kiss
nautafuta sasa hivi the boss, habari yako bana
Woiii! au mtu kajilia maharage hajasukutua hata mdomo eti kiss:violin: nani anataka vipande vya chakula vilivosagwa na meno ya mwingine.
gaga hebu tafuta wimbo wa shania twain
unaitwa this kiss
utaniambia
Aisee Tasia 1... katika relationship hakuna la muhimu kama SEX
na makolombwezo yake kama kweli mwataka kufurahia mahusiano yenu..
mkikutana mko fit katika SEX na tabia ku blend.... Usipime!!
Vipi The boss na wewe unataka?mhhh haya
Umejuaje? Huo wimbo nauhitaji kinyama. Huwezi amin huo ndio wimbo ulioniunganisha na gf wangu sote tulikutana twaupenda. Ilikua seminar room Udsm!Jamani wenye kuweza kuniwekea you tube ya huu wimbo waniwekee please, nahisi bacha na bishanga na gagurito na arsene wanahitaji kuusikia
Vipi The boss na wewe unataka?
Unamaanisha maneno yake au tune?
No! It was weekend, tulikua private studies hahahahaaa!Duh hadi seminar room mnawekewa nyimbo nzuri kama hizi za mapenzi?
Bado sijapata wanafunzi darasa tupu wewe ukijaza application utakuwa wa kwanza..loluwalimu ulianza lini?
una wanafunzi wangapi so far?
Acha uongo wewe sijaona thanx yako pale juu loooooooo"You are the one, I think I'm in love
Life has begun
I can see the two of us together
I know I'm gonna be with you forever
Love couldn't be any better"!
Gaga leo umenifurahisha sana mtu wangu, nimekupa THANKS kubwa!
Bado sijapata wanafunzi darasa tupu wewe ukijaza application utakuwa wa kwanza..lol
Jamani si umeniambia dedication kwangu? maana kuna tune , maneno na kadhalika wewe kila kitu au?