When You Kiss Me

ha ha ha Bacha, hio sig ningekua nimebadilisha, nina sig inahusiana na
Budget but inanigomea kua it is too big... sijui hapa ya CPU au Mbu inakuwaje...

Mimi pia nawapenda saaaaaaaana! Nilitaka kuumwa these few weeks...lol..
kwa hiyo hii hatari inaninyemelea na mimi sio?
 
sikatai msimamo wako, naupenda na ninauheshimu!
lakini kama basi hicho ndo kigezo chako katika kuolewa,
Hivi ikitokea kuwa huyo mume/bwana mbele ya safari performance yake ikawa poor,
either kwa matatizo fulani fulani, utafanyaje?utamkimbia au?
kwani ushatuambia hapa kuwa hiyo kitu ndo super glue ya uhusiano wenu....................

Bacha mimi ni mwanamke wa Kiafrika asilia, wanawake ambao tumefundwa kua anything
can happen but that does not make me nichukue mtu mwenye madhaifu mapema labda kama
lasolvika for napenda saana tena mno, am a one man woman... sitataka niwe unfaithful..
ikitokea kua kapata matatizo... nitavumilia maana kuna ya muhimu zaidi mnapokua wenza..
Maongezi yaangu hayo yasikufanye ufikiri i can not live withou Sex... but i bliv ni mhimu..

Nakimbia rasmi uzi huu... Kwaheri Gaga...
 
Mmm!hivi ni kweli katika maisha yetu haya halisi,
huwa tunafundishana haya mambo au tunajikuta,
kwamba kila mtu huwa anayafanya kwa jinsi anavyojua yeye,
na tunaona ni sawa!!!!!
To be honest mie nilimfundisha mume wangu kukiss navyopenda mimi, mambo yote yalikuwa muswano ila kiss ilikuwa haijakaa vizuri lakini sio kwa maneno, kwa vitendo, akitaka kunikiss kivyake napeleka kichwa pembeni then namkiss navotaka mpaka aka adopt bila maneno wala kukereka
 
Ni kweli Gaga,kuna watu wengine lol..
utajuta, anakujazia mimate tu mdomoni huku kakunja sura kweli.........................
kama Bishanga Abashaija.........lol......wapi chuo ya kupiga kiss nika enroll?
 
ha ha ha ... a person who controls a kiss and makes it memorable to me is 70% a mans effort!

sijakataa msimamo wako hapo,
ila najaribu kutafakari hiyo njia utakayotumia mpaka
kumpata huyo atakaekuwa ametimiza hivo vigezi lol...

Would it be a single toss or?........................
 
kama Bishanga Abashaija.........lol......wapi chuo ya kupiga kiss nika enroll?

hebu mwone Asha, anaweza kukujuza zaidi kwenye hili!!!!!
Labda kuna njia nyepesi, ukiangalia tu ile morphology ya lips,
waweza jua hapa unaweza pata kiss nzuri au hapana..................................
ha ha ah ahaaaaaaaaaaaa.....................
 
To be honest mie nilimfundisha mume wangu kukiss navyopenda mimi, mambo yote yalikuwa muswano ila kiss ilikuwa haijakaa vizuri lakini sio kwa maneno, kwa vitendo, akitaka kunikiss kivyake napeleka kichwa pembeni then namkiss navotaka mpaka aka adopt bila maneno wala kukereka

good experience ...lol......
 
Haya maswali ndo yalinikimbiza for nilinusa...lol..

Naamini katika mapenzi viwango vimetofautiana mkutanapo wawili hata woote
muwe ma Gwiji kiasi gani... ndo maana (watu don't admit this...) but mara nyingi
first trials na mtu usiemfahamu hua failure in most cases.. Siku zisongapo mnasomana
na kufundishana... hata Kiss ikiwa part of that process ingawa hawezi fikia mjuzi...

Hata hivyo Bacha siwezi olewa na mtu hayupo fit, for sex is a very important part of a relation ship...
msalie Mtume Asha!
 
Bacha mimi ni mwanamke wa Kiafrika asilia, wanawake ambao tumefundwa kua anything
can happen but that does not make me nichukue mtu mwenye madhaifu mapema labda kama
lasolvika for napenda saana tena mno, am a one man woman... sitataka niwe unfaithful..
ikitokea kua kapata matatizo... nitavumilia maana kuna ya muhimu zaidi mnapokua wenza..
Maongezi yaangu hayo yasikufanye ufikiri i can not live withou Sex... but i bliv ni mhimu..

Nakimbia rasmi uzi huu... Kwaheri Gaga...
Unaenda wapi mtoto? embu tulia hapa mpaka bishanga na bacha wajue kukiss
 
unajua bishanga, wakina dada huwa mara nyingi,
wanajiona wao ni good kisser kuliko wanaume,
sijui kwanini huwa wana mtizamo huo!!!!!!
Lakini kiukweli wao ndo huwa wanatuangusha sometimes,
wakina baba twaweza kukiss vizuri endapo
tunakutana na mdada anaejua kujiweka katika mkao ulio sahihi kabisa!!!
Asha ?Gaga naomba msije na hasira hapa..........................
Gaga na Asha..........je mna swali la nyongeza? Mtambo wa chuma umeongea hapo!
 
To be honest mie nilimfundisha mume wangu kukiss navyopenda mimi, mambo yote yalikuwa muswano ila kiss ilikuwa haijakaa vizuri lakini sio kwa maneno, kwa vitendo, akitaka kunikiss kivyake napeleka kichwa pembeni then namkiss navotaka mpaka aka adopt bila maneno wala kukereka

Safi sana hio, unamtengeneza hawe unavyotaka na yeye anakutengeneza jinsi anavyotaka; maisha yanaendelea.
 
Bacha mimi ni mwanamke wa Kiafrika asilia, wanawake ambao tumefundwa kua anything
can happen but that does not make me nichukue mtu mwenye madhaifu mapema labda kama
lasolvika for napenda saana tena mno, am a one man woman... sitataka niwe unfaithful..
ikitokea kua kapata matatizo... nitavumilia maana kuna ya muhimu zaidi mnapokua wenza..
Maongezi yaangu hayo yasikufanye ufikiri i can not live withou Sex... but i bliv ni mhimu..

Nakimbia rasmi uzi huu... Kwaheri Gaga...[/QUOTE]

wewe kimbia tu, lakini ukumbuke kurudi ili uage vizuri..................
 
sikatai msimamo wako, naupenda na ninauheshimu!
lakini kama basi hicho ndo kigezo chako katika kuolewa,
Hivi ikitokea kuwa huyo mume/bwana mbele ya safari performance yake ikawa poor,
either kwa matatizo fulani fulani, utafanyaje?utamkimbia au?
kwani ushatuambia hapa kuwa hiyo kitu ndo super glue ya uhusiano wenu....................
Asha leo umelikoroga,unalo!
 
Gaga umenifurahisha sana, huu wimbo ndugu yangu ucupime hapa shania twain alidhihirisha yeye ni fundi!
 
Unaenda wapi mtoto? embu tulia hapa mpaka bishanga na bacha wajue kukiss
Gaga huwezi amini kuna mtu kaniPM anataka anifundishe kunyamnyam,ngoja ni log off ,nikishahitimu nitaleta ripoti kwenye uzi huu huu,byeeeeeeeeeeeeeeeee na ninakutakia mapenzi mema na mwenza wako!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom