MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
- Thread starter
-
- #81
MJ1,
Pamoja na kuwa kuna distortion ya taarifa kwa kuangalia heading yako, kuna ukweli usiopingika kuhusu huo utafiti.
Kwa uzoefu wangu, kadri mwanamke anapokuwa na sauti zaidi ndivyo uwezekano wa mume kupata unyumba unavyokuwa mdogo sana. Sijui ni kwa nini ila huo ni ukweli. Halafu kwa watu ambao wamekaa na watu wa nchi za Scandnavia kama vile Denmark wataelewa zaidi ninachokiongelea!
Ila nadhani huu utafiti ulilenga kuoanisha kutingwa na kazi na hapo hapo mwanamke akawa na mamlaka juu ya kutoa au kutotoa....Kwangu mimi naona hapo ni kumwaga cheche za moto kwenye tank la petrol...Yaani mwanamke ambaye ana kauli ya mwisho juu ya unyumba halafu umpe kazi nyingi (nyie mnaita kuwa busy), huyo baba inabidi atafute pa kukimbilia haraka sana!!
Hujagundua tu my Bro? utafiti huu unayo mengi ambayo nayaona kama hayako sawa!MwanajamiiOne, if I may ask .why are you enthused about this survey, study, or whatchamacallit?
Hujagundua tu my Bro? utafiti huu unayo mengi ambayo nayaona kama hayako sawa!
1. Kama ni kweli kuwa Mj1 akiwa ndo mwenye last say juu ya tendo la ndoa na mumewe, halafu ikaappear kuwa tendo hili kwao linafanyiika mara 1 ndani ya siku 28 kuna mawili
- Either Mj1 sexual urge yake ni ndogo (kuwa hajisikii mara kwa mara)
- la sivyo kama sex urge yake na mumewe ni sawa (kubwa) then Mj1 anaamua tu kuwa mchoyo kwa mumewe so Mj1 atakuwa anacheat nje au la
- Basi mume wake Mj1 hamuombi/seduce Mj1 ili ampe (au Mj1 hasedusiki)!
Ndio maana nimeishupalia kama fisi na mzoga!
Aksante DC ni kweli hata mie nimeiona na ndio hasa iliyonifanya niilete hii mada. The very same heading imetumika kwenye article hiyo iliyotolewa kwenye gazeti husika. Aksante sana kwa kunisaidia kuibua hoja zangu, nilikuwa nashindwa jinsi ya kuziweka mwe! Kweli shule muhimu. Sasa DC
1. Unaposema mwanamke anapokuwa na sauti, chance ya yeye kukutana na mumewe huwa ndogo, na umesema hujui sababu!! Mwe hapa kiu yangu imebaki pasipo kukatwa;
2. Hilo la kutingwa na kazi nadhani linaweza likatolewa maelezo likaeleweka angalau, kuwa ana kazi nyingi anachoka hadi kusupress hisia zake na sasa kama yeye ndo mwenye kusema sawa leo ndio au hapana, obvious baba ataambulia leo siyo mpaka achoke. But hilo la kuwa na say ya mwisho juu ya unyumba!! ina maana
- yeye kama yeye hashikwi na hamu? (Mf. hao waghana wanaosemwa kuwa huchukua hata siku 28 ? au
- Ina maana anakuwa na uwezo wa kupata kwingine mbali na mumewe?
siku 28 si mchezo jamani kama mpo pamoja siku zote
haiwezekani kila siku yeye amechoka tu ati kisa na kazi nyingi
hivi wapi nafasi ya hisia za asili za kujisikia kutaka????
mambo mengine tunageralize sana
kabisa kabisa siamini kama hili lawezekana
labda kuwe na njia mbadala ya kujiridhisha
vinginevyo is an issue
Ooh kumbe!
Lakini hayo ni mambo ya kawaida sana. Yapo kwenye jamii zote na yanatatiza jinsia zote. Ila nimekuelewa.
Mimi wala sioni la ajabu kwenye huo utafiti. Wapo wanandoa ambao ‘attraction' ishaisha sasa ukijumlisha na pilikapilika za maisha na upungufu wa homoni za estrojeni na testosterone wastani wa mara moja kwa mwezi ni mkubwa sana.
Kuna watu wanaenda hadi miezi minne minne na zaidi bila hata kukutana kimwili seuze mara moja katika siku 28!
Sisi kama jamii hatujazoea kuyazungumzia haya mambo kwa ujahara kama jamii za Magharibi lakini ni mambo ya kawaida mno. Tena kabla hawajavumbua vile vidonge vya bluu nadhani watu walikuwa wanaenda bila kukutana kwa muda mrefu mno au hata huenda ilifikia wakati wanakuwa hawakutani kabisa.
Binafsi sijashtushwa kabisa na matokeo ya huo utafiti.
Aksante DC ni kweli hata mie nimeiona na ndio hasa iliyonifanya niilete hii mada. The very same heading imetumika kwenye article hiyo iliyotolewa kwenye gazeti husika. Aksante sana kwa kunisaidia kuibua hoja zangu, nilikuwa nashindwa jinsi ya kuziweka mwe! Kweli shule muhimu. Sasa DC
1. Unaposema mwanamke anapokuwa na sauti, chance ya yeye kukutana na mumewe huwa ndogo, na umesema hujui sababu!! Mwe hapa kiu yangu imebaki pasipo kukatwa;
2. Hilo la kutingwa na kazi nadhani linaweza likatolewa maelezo likaeleweka angalau, kuwa ana kazi nyingi anachoka hadi kusupress hisia zake na sasa kama yeye ndo mwenye kusema sawa leo ndio au hapana, obvious baba ataambulia leo siyo mpaka achoke. But hilo la kuwa na say ya mwisho juu ya unyumba!! ina maana
- yeye kama yeye hashikwi na hamu? (Mf. hao waghana wanaosemwa kuwa huchukua hata siku 28 ? au
- Ina maana anakuwa na uwezo wa kupata kwingine mbali na mumewe?
Aksante. Umeniona sasa eh na kuielewa kiu yangu ya kujua mkitu ambao sikuwa ninaujua?! Laiti ungeniona nlivyokuwa nasoma kwa mshangao na domo langu la juu nimeliacha wazi ka mlango wa bajaj ungenionea huruma. KLumbe kaka yangu unayafahamu haya,,,,,, naomba shule zaidi mwaya hapa nshachukua kalamu na karatasi.
So kadri tunavyozoeana katika ndoa ndo masijui tetracycline sijui gen nini huko yanavyozidi kupungua na kutufanya tutumie mavidonge ya bluu?? Saaasaaa duh maswali mengine najionea aibu hata kuuliza mwalimu!! Kwa hiyo haya matetracycline yanapungua kwa wenzi wetu tu ila kwa wa nje yanaongezeka? Maana kuna wababa wengine wanavyozeeka ndo eh kwa vibinti!
NN leo nisamehe tu kaka yangu
Yaani Mr Rocky nimebaki na maswali lukuki! Maana ukianza kuangalia kwa jicho la tatu ina maana wale wanaokaa muda mrefu bila mf. Ghana wanaishiishije kama si kucheat kwa kwenda mbele?
Hapo dada unaongelea tabia za kawaida tu ambazo zinatokana na nature ya binadamu....Labda kama ukitueleza kuwa wewe hujawahi kutamani chakula cha jirani yako unapokuwa restaurant!!
Biologically, over stimulation inasababisha saturation na hiyo ni katika mambo mengi yakiwemo mahaba na ngono....Ndo maana huko jandoni na unyago watu walifundishwa mbinu za kurudisha hamu kwenye mstari wake...
Kwa wale ambao tumelamba chumvi ya kutosha (hapa naongelea NaCl na siyo chumvi za vijana wa dot com), hizo 28 ni kawaida tu...Tena hawa viumbe wakiwa busy ukawaache hadi wakutafute wenyewe ndio wanaanza kukusifu kwamba unajali!!
Ila hii hadithi ni ngumu sana kueleweka kwa vijana (teens na kaka/dada zao), kwani kwao hata week moja ni nyingi sana!!
Sasa kama mwanamke anajifanya mkali huku anajua aliolewa kwa ajili hiyo umbembeleze wa nini? Si unaona hata wewe unashangaa, sio kawaida hiyo. Hapo akijidai kulala mzungu wa nne, we unatoka zako unaenda kukamata easy prey somewhere then unarudi zako unajifanya mkavuuuu kama dume la panya buku linavyo pretend 'linapotoka nje'.
Hapo dada unaongelea tabia za kawaida tu ambazo zinatokana na nature ya binadamu....Labda kama ukitueleza kuwa wewe hujawahi kutamani chakula cha jirani yako unapokuwa restaurant!!
Biologically, over stimulation inasababisha saturation na hiyo ni katika mambo mengi yakiwemo mahaba na ngono....Ndo maana huko jandoni na unyago watu walifundishwa mbinu za kurudisha hamu kwenye mstari wake...
Kwa wale ambao tumelamba chumvi ya kutosha (hapa naongelea NaCl na siyo chumvi za vijana wa dot com), hizo 28 ni kawaida tu...Tena hawa viumbe wakiwa busy ukawaache hadi wakutafute wenyewe ndio wanaanza kukusifu kwamba unajali!!
Ila hii hadithi ni ngumu sana kueleweka kwa vijana (teens na kaka/dada zao), kwani kwao hata week moja ni nyingi sana!!
Lol na wewe kaka yangu umeona nimekosea hayo makitu nimeandika matetrasaikline nawe umequote bila kurekebisa unataka Nkaka NN na kingereza chake cha Oxford aje anianike hadharani eh?!
mwaya Bro Nyani mie nlikuwa najua sana kuwa nimekosea lol
Aksante. Umeniona sasa eh na kuielewa kiu yangu ya kujua mkitu ambao sikuwa ninaujua?! Laiti ungeniona nlivyokuwa nasoma kwa mshangao na domo langu la juu nimeliacha wazi ka mlango wa bajaj ungenionea huruma. KLumbe kaka yangu unayafahamu haya,,,,,, naomba shule zaidi mwaya hapa nshachukua kalamu na karatasi.
So kadri tunavyozoeana katika ndoa ndo masijui tetracycline sijui gen nini huko yanavyozidi kupungua na kutufanya tutumie mavidonge ya bluu??
deprivedwife21 "I never thought I would be here & my bday is Oct. 11 😉"
Age: 31 (Libra)
Location : Alpharetta, Georgia, United States
Height: 5'2" (157cm)
Weight: 120 lbs (54kg) - Fit
My Limits are: Whatever Excites Me
Status: Attached Female seeking Males
Gender: Female
Ethnicity: Caucasian (white)
Smoking Habits: Not specified
Preferences and encounters I am open to:
I'm 31, have 3 awesome kids, and have been married for 8 looonng years. My husband is 10 yrs older than me. I thought that was really what I wanted at first, but over time have learned that it isn't. His testosterone levels and sex desire has tanked. While, I am at my sexual peak here in my early 30s. I don't know how to deal with this anymore...which I guess is why I'm on here. I mean, he works a lot and I know he's tired at the end of the day....but geez, look at me....haha. I'm petite and work out as much as I can. I take care of myself. It's not like I'm repulsively ugly, lol. Anyways, that being said, I'm open to almost anything, short or long term. But, not just a physical relationship either
Kufuatia utafiti uliofanywa East, Southern and Western Africa, imegundulika kuwa wanawake wenye 'maamuzi ya mwisho' juu ya sex ndani ya ndoa zao hupata huduma hiyo less than wale ambao waumezao ndio wenye final say. Utafiti huu uliofanywa na Johns Hopkin's Bloomberg School of Public Health Study, umebainisha yafuatayo;
- Uganda, Mali na Rwanda - ambako wanaume wana say kubwa kuliko wanawake (hasa Malawi na Mali) - tendo hili hufanyika mara 1 kila baada ya siku 8
- Rwanda na Zimbabwe - Mara 1 kila baada ya siku 6
- Ghana - Mara 1 kila baada ya siku 28.!!
Source: The EastAfrican : October 3 - 9, 2011 pg X
Section: Health & Lifestyle under the same tittle.
Nimejikuta nina maswali mengi juu ya hii article.
1. Title ya hii article inajaribu kulink power of a woman and sexual matters in a negative way
2. Je wanaume na wanawake wana sexual urges (sijui ndo mnaita libido) tofauti - wanaume wakiwa na ya hali uya juu kuliko wanawake au??
Hivi MwanajamiiOne unachangiaga mada kwenye majukwaa mengine kweli? Au wewe uko ki-MMU zaidi?
Nimejikuta nina maswali mengi juu ya hii article.
1. Title ya hii article inajaribu kulink power of a woman and sexual matters in a negative way
2. Je wanaume na wanawake wana sexual urges (sijui ndo mnaita libido) tofauti - wanaume wakiwa na ya hali uya juu kuliko wanawake au??
.... Its true usemayo kakangu yaani sometimes tunapewa issue za ajabu sasa kama Ghana ambako ndo less kihivyo je hali hii inaendana na ukubwa wa janga la UKIMWI au watasema wanaume wa huko hawacheat, au wakicheat wanatumia kinga?! Ah hata sijui kama nimeuliza maswali yanayoeleweka!
na wewe kwanini unampolisi mwenzako?
full kumchunguza kachangia jukwaa gan na gani yahuuu?
habar yako nn?