When Does the Infatuation ends.......?

Wajinga ndo wana upofu wa mapenzi,mtu makini anaejua upendo ni nini hana upofu!

unaelewa nini kuhusu huo upofu?, mi nimemwambia kongosho sina upofu katika mapenzi naona kanipiga dongo kuwa napenda kwa kichwa.
 
muda husema kila kitu na una maana sio kila milango tunapiga hodi tunafunguliwa kwa wakati mingine hufungwa kabisa au kufunguliwa kwa kuchelewa
Ukijua kupenda ni nini hauitaji muda!
 
Eiyer
Love haifundishwi, ila unaweza kujifunza kumpenda mtu.., (what I mean hata mtoto anayezaliwa leo, emotions na chemistry zinamfanya awe capable kupenda na kuchukia) hii kitu ipo within kila kiumbe.

Mtu unaweza kujifunza kumpenda mtu, kwa kutafuta qualities zake fulani na kuzizoea, hence baada ya muda companionship na mazoea yatalead kwa kumpenda huyo mtu.., (Instead ya kuangalia negatives za mtu una-concetrate kwenye mazuri yake).

Ila kusema fulani hajui kupenda.., its a bit too far its like there is one universal way someone should love another, all saying someone is emotionless

Good analysis 'sun wu',
japo sina hakika kama wenye thread hii
wanataka psychoanalysis kweli au light touch yake tu.
good job!
 
sun wu,hebu niambie kupenda ni nini ili ujue kama kupenda kunafundishwa au unajua tu from no where!
emotion of strong affection and attachment; hivyo basi utaona kwamba hata mtoto akizaliwa, au kiumbe chochote kikizaa kunakuwa na attachment na affection kati ya mama na mtoto, huyu mtoto akikua kuna watu (marafiki anapata) ambao anakuwa na affection na attachment kwao.

Tukiweka hii kitu (Scientifically), ni kwamba hormones testosterone, cortisol, oxytocin n.k. zinachangia kwa kila stage ya mtu katika kupenda kutokana na attraction ya mtu na mtu.., mapenzi ya mtu (taste zake) zinapelekea saa ngapi au mtu gani akikutana nae ziwe secreted.. therefore utaona kwamba.., its natural...

Ingawa kwa sisi ambao tunaamini kwamba unaweza kujifunza kumpenda mtu, unaweza uka-concentrate kwenye zile features nzuri za mtu hence kupelekea ile attachment na mtu, (although hapa sisemi kwamba isingeweza kutokea naturally kama utamuona mtu mwenye features unazopenda wewe)
 
MwanajamiiOne, nimelipenda suali lako, ukipata majibu tafadhali nambie na mimi nijue. lol.
Ila nikijaribu ku-define, tokana na experience yangu, na the way watu wanaongelea kuhusu love and infatuation ni hivi:
LoveInfatuationLust
ReasonsStrong reasonsNo apparent/weak reasonSex appeal
Time frameLong lasting, quite constantComes and goes, strong/weak alternances
Until you get it. lol
Your needsYou want to giveYou want to getSexual
Center of attentionHim/HerYouSex

Of course sio kila wakati inakua hivo ila in general that is what I (RussianRoulette) see as general differences. Kuna feelings that cut accross two of these, maybe three... na zingine hu-swing from one to the other depending on the needs etc...
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mapenzi na upofu ni kama uji na mgonjwa, kiswahili mgonjwa hupewa uji.

Lakini si kila mgonjwa anakunywa uji na si kila anayekunywa uji mgonjwa.

Sijui umenipata.

kwani wewe upofu wa mapenzi unauelewaje? Labda tunaelewa kwa namna tofauti? Ni lazima uwe kipofu ndio uonekane umependa kwa moyo?
 
Wajinga ndo wana upofu wa mapenzi,mtu makini anaejua upendo ni nini hana upofu!

hii ni kauli ya kimajununi...

kiburi na masifa ni sumu kubwa ya personality kwani wapuuzi huvaa miwani za mbao na kudhani dhaifu za nafsi ni ujinga... nahasa tukikubali kwamba hakuna ajuaye kipimo sahihi cha umakini na mapenzi duniani

Ati Eiyer anadhani anajua upendo.... na pia anahisi hana upofu

Pia nimeona sehemu anazungumzia muda na penzi (quoting Chauro), hata ule upendo wa yesu una muda, pale unapoujua na kuupokea.... NEGLECTING TIME IN LOVE IS LIKE READING SCRIPTURES UPSIDE-DOWN
 
MwanajamiiOne, nimelipenda suali lako, ukipata majibu tafadhali nambie na mimi nijue. lol.
Ila nikijaribu ku-define, tokana na experience yangu, na the way watu wanaongelea kuhusu love and infatuation ni hivi:
LoveInfatuationLust
ReasonsStrong reasonsNo apparent/weak reasonSex appeal
Time frameLong lasting, quite constantComes and goes, strong/weak alternancesUntil you get it. lol
Your needsYou want to giveYou want to getSexual
Center of attentionHim/HerYouSex

Of course sio kila wakati inakua hivo ila in general that is what I (RussianRoulette) see as general differences. Kuna feelings that cut accross two of these, maybe three... na zingine hu-swing from one to the other depending on the needs etc...

A GOOD TABLE/MATRIX... kuna study moja kwenye management, inaonyesha kwamba majority ya smart people huwa hawafall kwenye one box, they smartly meander through the boxes throughout the lifetime

please nisaidie hapo
 
Sasa mkuu wangu nikusaidieje hapo? That is for smart people, sisi tuko hapa kujifunza bado... But hiyo study makes sense.
 
good one thank u janjaweed!
hii ni kauli ya kimajununi...

kiburi na masifa ni sumu kubwa ya personality kwani wapuuzi huvaa miwani za mbao na kudhani dhaifu za nafsi ni ujinga... nahasa tukikubali kwamba hakuna ajuaye kipimo sahihi cha umakini na mapenzi duniani

Ati Eiyer anadhani anajua upendo.... na pia anahisi hana upofu

Pia nimeona sehemu anazungumzia muda na penzi (quoting Chauro), hata ule upendo wa yesu una muda, pale unapoujua na kuupokea.... NEGLECTING TIME IN LOVE IS LIKE READING SCRIPTURES UPSIDE-DOWN
 
Hivi nini kipo kati yetu?
Ukiwa nami ninafarijika
Ukiwa mbali ninasikitika.

oooh ah! ah! aaah!

hapo juu sio maneno yangu ni maneno ya msanii anaitwa "besta"

Kwa sredi hii naona kama nimemaliza wala nisiulizwe swali hata la kizushi.
 
hatimae umefika. Sanduku lako la posta ni lile lile? Nataka nikutumie maswali maana hapa umegoma kuulizwa.
 
Hivi nini kipo kati yetu?
Ukiwa nami ninafarijika
Ukiwa mbali ninasikitika.

oooh ah! ah! aaah!

hapo juu sio maneno yangu ni maneno ya msanii anaitwa "besta"

Kwa sredi hii naona kama nimemaliza wala nisiulizwe swali hata la kizushi.

Hahahahah.............loh huyu ni shemeji yangu nshamzoea ati dah............kwa hii post umenikata kiu shemeji!
 
Hivi nini kipo kati yetu?
Ukiwa nami ninafarijika
Ukiwa mbali ninasikitika.

oooh ah! ah! aaah!

hapo juu sio maneno yangu ni maneno ya msanii anaitwa "besta"

Kwa sredi hii naona kama nimemaliza wala nisiulizwe swali hata la kizushi.
Deskmate mbona hujajibu suali sasa?
Hiyo ni love au infatuation?
 
Back
Top Bottom