MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
- Thread starter
- #41
u a lucky naona mbu ni soul mate na body mate vilevile perfect combination
You can say that again Da Mdogo......... Mbu!!
u a lucky naona mbu ni soul mate na body mate vilevile perfect combination
Kwa ushahidi wako dada ni kuwa unawezaishi under inftuation hata kwa miaka miaka mi5 mpaka pale zitakapojitokeza sababu???
Mbu is another aisee.........kama ni infatuation ninapiga goti sasa hivi kuiombea iwe kweli mpenzi....he completes me
love imejijenga yenyewe.kwani b watoto wanatafutwa na matamanio?come on Smile,love haiwezi jenga matamanio? sasa hao watoto mnawapataje mkiwa ndani ya penzi?
una uhakika hata hao wachache wanakupenda kwa dhati?una hakika sio wasanii waliokubuhu? i will tell you this,maishani mwako ( in your whole entire life) ukipata bahati ya kupendwa truly and deeply angalau mara moja tu you will be a very very lucky person.Dunia hii imejaa full kuchorana/usanii when it come to matters love,na ndo maana wahenga walisema..'in love and war,all is fair',meaning katika vita na mapenzi silaha zote zinatumika in which case ikiwemo na deception,ulaghai,fitna,majungu,uzandiki etc.90% ya wanaonitaka naona wananitamani tu
wachache wananilove
i need a soul mate na sio body mate
bila matamanio niniliyu inasimamaje na ingine inaloaje?love imejijenga yenyewe.kwani b watoto wanatafutwa na matamanio?
Njia rahisi kugundua ni kuangalia wanaume wengine wanaojigonga kwako. . .kama sifa zote nzuri wanazo ila hawakushtui then your man is the real deal.Sweetie ndo mana nikauliza muda.... maana kusema kweli kuna wakati unamwona mtu wako kamayeye ndo yeye..........yaani ukigeuza ukapindua no one like him/her sasa kama utakuwa na hii vision kwa mwaka au miaka miwili.................will it make him/her true love?
Mwe mie na Mbu tuna mwaka sasa, I still find him new kila kukicha ........isijekuwa in fatuation aise
With time unazidi kumjua mtu, you get to know them better, likes, dislikes, love and feelings between you grow stronger, the bond gets stronger (hence hard to fall apart), to know how strong that feeling is, itategemea what hardship you can go through together and how far you are ready to go for that someone...........Okay, thats one measure- Muda (time) - can we have its measurable indicator? kuwa it takes time ? muda gani? One month?, year? au weeks?
Depends of how true you mean by true.., I might really love you today with all my heart but does not mean next year I wont hate you or have no feelings about you (these are all emotions, and the situations makes them grow stronger or die), and the thing about burrying it (of course huwezi ukasahau kabisa kuhusu mtu, especially kama mlishare good times) lakini unaweza uka-stop caring anymore.., au ile love ikabadilika na kuwa hatred (after all they are all emotions in different sides of the scale)Hiyo ya true love ikawa disappointed inakufa mh I doubt........ it aint die mydarling, it fades...... utaifeel daima sema itafika sehemu uirelease but not burrying it
love ni love -long term commitment ya body na soul,ni permanent
matamaninio ni matamanio-ni short commitment ya body -haina nguvu,ni flexible ni temporary,
but matamanio yanaweza kujenga love
ila love haiwezi jenga matamanio
wewe ushatamani umechoka sio?
nakutamani kweli wewe
nipo hapa mahaba beach njoo
inawezekana tamaa zikadumu muda mrefu kama utataka zidumu. Kama umemtamani flani ila kuna vikwazo vya wewe kuwa nae na ukakubali kuwa huwezi kupata ulichotamani hapo unaweza ukajitoa katika matamanio. Kama umetamani na bado unajipa moyo na kufanya jitihada ya kupata unachotamani bila shaka tamaa yako itadumu hadi utakapokata tamaa au utakapopata unachotamani.
Miaka 5 michache, watu wanafukuzia mabinti miaka hata 10 (hao tamaa zao zinaweza zisiishe kabisa)
Su wu umejibu vema but swali langu ni kuwa, honestly nimeshakuwa kwenye stage ambayo inafit infatuation............... yaani zile raha, moyo kwenda mbio na hali ya kuhisi kuwa bila yeye wewe hufai umekuja kimakosa duniani yaani zipo ila najiuliza ni kwa muda gani inatakiwa feeling hii kulast? Je kuna muda ambao ni permanent kuwa ukipita basi ni kama akili inafunguka na kukualert kuwa hey that or this is not love bali ni infatuation??
una uhakika hata hao wachache wanakupenda kwa dhati?una hakika sio wasanii waliokubuhu? i will tell you this,maishani mwako ( in your whole entire life) ukipata bahati ya kupendwa truly and deeply angalau mara moja tu you will be a very very lucky person.Dunia hii imejaa full kuchorana/usanii when it come to matters love,na ndo maana wahenga walisema..'in love and war,all is fair',meaning katika vita na mapenzi silaha zote zinatumika in which case ikiwemo na deception,ulaghai,fitna,majungu,uzandiki etc.
Hahah Hussy hiyo ya kama nntataka zidumu ni hoja aisee........so kumbe ninawezaamua idumu au isidumu?? So ule msemo wa love is blind hauapply hapa si ndio??
Eiyersun wu,unasema unayosema kwa sababu hujui kupenda ni nini.Ndo maana unashangaa kama upendo nao unafundishwa.Hili ni janga la kitaifa 90% ya vijana hawajui kupenda ni nini!
kwangu mimi love isn't blind da mkubwa! Kwahiyo huo msemo hauapply. Najua ni ngumu kuzizuia hisia zisitokee ila unaweza kuzizuia zisikutawale. Si lazima kufanya vile ambavyo hisia zako zinataka. Sometimes inabidi kupingana na hisia zetu, japo utaumia ila ni faida kwa badae.
Mfano, kuwa kwenye mahusiano na mtu unaempenda wakati yeye hakupendi (ni upofu, ila mimi sina huo upofu) bado ni maumivu, kumuacha wakati unampenda pia ni maumivu ila ni bora upingane na hisia zako, umuache huyo mtu kuliko kuendelea nae ukawa unazidi kuumia. Najaribu kusema kuwa usiruhusu tamaa ikutawale hasa pale unapajua ni ngumu kupata unachotamani
Umeelewa da mkubwa?
Ha ha haa Asante tangojea kesho... "If Tomorrow Comes....."my dia sun wu nina njaa sijala tokea asubuhi
nitakujibu kesho
nimeona tu nisikuache bila salamu
i love u