Alinitesa ila nilitoka kidedea na somo kubwa.

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
14,027
Reaction score
27,226
Katika kukuwa niliamini kuwa ukiona watu wawili wameoana na kuishi pamoja sio by chance... Yaani kuna some sort of intervention wao kukutana, kuoendana na kuishi pamoja.

Sasa kuna msichana mmoja ambaye kanitesa, akiniyumbisha na kunifanya nipitie tanuri la moto.. Ni kama nilikuwa nimerogwa kuwa ni yeye tu mpaka kifo.
. Na kibaya zaidi I never even touched her, hata kiss sikuwahi pata. Mjinga mimi!

I was so dead kwake nilioza, sasa kumbe mwenzangu aliona kawaida tu na mm niliona our connection was soo sacred. Yaani nilikuwa mpuuzi mimi, sijui nini tu.

Tukiachana, nitamtafuta tena miaka nenda miaka rudi, nitamtafuta wanawake wengine ila si feel chochote kwao, nitamrudia tena, tutakuwa marafiki na Nita rusha ndoano, nitapewa muda afikirie ila majibu hollah!

Nitamkasirikia nitamtukana, then tunaachana, tena baada ya miaka Nitamwota na kumkumbuka mpka Nita shindwa kujizuia na tafuta tena, ila naambulia hewa, sasa kuna time tukazinguana, yaani ilikuwa kama wake up call kwangu, ile.

Unajua kuna misconception sana humu duniani, watu wanaishi based on lies wakati wana infatuation tu. Hakuna kitu kama soul mates, kama hakuna chemistry hupendwi na kubali tu.

Basi tulivyozinguana ile ya mwisho kuna kitu kika click, ni kaanza kumwonea kama demu wa kawaida, kabisa hana ule uspesho tena ambao nilidhani atakuwa nao, ile link ambayo ili kuwepo ilipotea na nikajikuta si give any shit kwake kabisa.

Na toka siku ile nimetokea kuona wanawake wote sawa tu, there are players and loyal too, hakuna mwanamke spesho kumzidi mwingine, ukimoenda anaweza asikuoende and there's nothing you can do, huwezi force au kuomba destiny I align kwa mtu sahihi, there is uncertainty in how love unfolds...

Mateso na spiritual awakening niliyo ipata kupitia kumpenda mtu yule, ambae muda wote hakuna meaning yoyote btn us, imenifanya kuwa makini sana na wanawake I have a Lazer focus, kutambua manipulation ya aina yoyote, hakuna mwanamke anayeweza kunichezea kihisia, I can sense a mile away that she's a player.

Najua what true love is, na how it is reciprocated not by fake smiles and steamy sex, but intimate non longing connection that gets stronger with time. I know that intimacy begins with the eyes.. Sex is just a result. Mwanamke akikupenda you will know Ukishakuwa na doubts hupendwi. Kubali kuishi kwenye illusion au jiengue before it is too late.
 
Wewe umetokea usukumani? Huko ndiyo wanajua kuganda wanawake utadhani ni wachache kwamba akikuacha hutopata mwingine.

Binafsi tangu nikiwa teenager nilikuwa sijui kitu kuzinguliwa na demu maana demu hata akijaribu tu kunipima kwamba sijui tuachane, ngoja nikufikirie na shit kama hizo basi mimi huyoooo nimeshasepa zangu.

Hii ni principle yangu hata leo nikiwa mtu mzima 30+ sishughulishwi na mwanamke aise.
 
Hizo ni miongoni mwa dalili za ukuaji.

Upo kwenye kundi la foolish age, hicho kipindi huambatana na ndoto nyevu, kufikiria mapenzi zaidi kuliko kujitafuta mwenyewe na kesho yako.

Asilimia kubwa huaribu future yao kipindi hiki, wengine huangukia na kuwa wapigaji punyeto waliokithiri kwenye maisha yao yote .

Ila pole sana kijana utavuka hicho kipindi cha baleghe na kuwa mwanaume kamili na sio mvulana ila jiepushe na makundi na tabia za hovyo ambazo zitahatarisha afya yako na maisha yako kwa ujumla.

Ahsante.
 
Hongera
 
Nilipofikisha miaka 25 nikaacha kutumia nguvu kumbakisha mwanamke kwenye mahusiano.
Uamuzi wangu umenifanya niishi kwenye maisha yenye amani na furaha tele bila ya songombngo,sarakasi au changamoto za kimahusiano.
Sawa mkuu ulijitambua mapema.
 
Wewe umetokea usukumani? Huko ndiyo wanajua kuganda wanawake utadhani ni wachache kwamba akikuacha hutopata mwingine.

Binafsi tangu nikiwa teenager nilikuwa sijui kitu kuzinguliwa na demu maana demu hata akijaribu tu kunipima kwamba sijui tuachane, ngoja nikufikirie na shit kama hizo basi mimi huyoooo nimeshasepa zangu.

Hii ni principle yangu hata leo nikiwa mtu mzima 30+ sishughulishwi na mwanamke aise.
Ni kweli kabisa mimi ni msukuma, ila sio mshamba kiasi hicho mkuu🤣
 
Hizo ni miongoni mwa dalili za ukuaji.

Upo kwenye kundi la foolish age, hicho kipindi huambatana na ndoto nyevu, kufikiria mapenzi zaidi kuliko kujitafuta mwenyewe na kesho yako.

Asilimia kubwa huaribu future yao kipindi hiki, wengine huangukia na kuwa wapigaji punyeto waliokithiri kwenye maisha yao yote .

Ila pole sana kijana utavuka hicho kipindi cha baleghe na kuwa mwanaume kamili na sio mvulana ila jiepushe na makundi na tabia za hovyo ambazo zitahatarisha afya yako na maisha yako kwa ujumla.

Ahsante.
Kwa sasa nilisha pita huko mkuu, ila Shukran kwa nasaha hii itamsaidia mwingine pia
 
Back
Top Bottom