When Does the Infatuation ends.......?

Husninyo, uloshawahi penda? Kupenda bila hiyana? Kupenda mtu uliyemkuta na meno 32? Ukahisi kaikamilisha dunia yako?

Mmmh, love is blind? May be yes, may be no.
 
Last edited by a moderator:
Jamani inachanganya............ Mfano kwangu its more than six months..bado tu akipiga ninapata butterflies, nimeshakaa nae kwa muda na kila ninapofikiria some butterflies aisee wanagombana .......ndo maana nauliza ni kwa muda gani? Ili ikipita hata nikiwasikia wakiniimbia verse nsishtukae nijue ni infatuation?
 
switii acha kupoteza ladha maridhawa kwa maswali magumu napopenda huwa najitoa mia kwa mia hayo mengine kutokea huwa matokeo hapa nakuona kama unatengeneza hofu au hofu imetawala usiipe nafsi historia ipe wakati kufurahia wakati bila kuidhulumu nafsi darling.
Chauro hun hebu nisaidie....... plz
 
Jamani inachanganya............ Mfano kwangu its more than six months..bado tu akipiga ninapata butterflies, nimeshakaa nae kwa muda na kila ninapofikiria some butterflies aisee wanagombana .......ndo maana nauliza ni kwa muda gani? Ili ikipita hata nikiwasikia wakiniimbia verse nsishtukae nijue ni infatuation?

hahahaha! Haina muda hiyo. Kama unaona vipepeo mpe nafasi. Lol
 
switii acha kupoteza ladha maridhawa kwa maswali magumu napopenda huwa najitoa mia kwa mia hayo mengine kutokea huwa matokeo hapa nakuona kama unatengeneza hofu au hofu imetawala usiipe nafsi historia ipe wakati kufurahia wakati bila kuidhulumu nafsi darling.

Chauro haha hapa nacheka maana Soulmate alishalisema hili bali mie sikio la kufa mwe! Ngoja nirelax niache love itake its own course................... Aksante mamii

Mbu nakupenda aisee....sitaki kujua kama penzi hili ni infatuation au la! lol
 
Jamani inachanganya............ Mfano kwangu its more than six months..bado tu akipiga ninapata butterflies, nimeshakaa nae kwa muda na kila ninapofikiria some butterflies aisee wanagombana .......ndo maana nauliza ni kwa muda gani? Ili ikipita hata nikiwasikia wakiniimbia verse nsishtukae nijue ni infatuation?
Love ni package (unapenda jambo zaidi ya moja kwa mtu...) ; Infatuation inaweza ikawa unamu-admire unapenda charisma yake au status yake, mavazi n.k. Hivyo the only difference ni kwamba kama ni admiration ya vitu vichache kuna uwezekano isidumu.., ingawa ki-ubinadamu nina uhakika kabla hio feeling haijaisha kutakuwa na feelings nyingine zita-kick in kitu ambacho kinaweza kupelekea deep love.., All in all whatever is it there is a bigger chance you might end up behind the altar.., kuliko yule ambae hauna emotions nae
 
Njia rahisi kugundua ni kuangalia wanaume wengine wanaojigonga kwako. . .kama sifa zote nzuri wanazo ila hawakushtui then your man is the real deal.

Lizzy Baby hahaha..unbfortunately......when am commited, sitoi nafasi kwe mwingine kufanya demos aisee! sijui najizibia?
 
we acha ushawahi kusikia kwa jiran anaitwa mtu mwingine sababu tu kuna kaherufi kanafanana na umpendaye unashtuka mapenzi ya kweli huwa hayafi jipe muda kama nafasi ipo ipe nafsi kitu inapenda
Jamani inachanganya............ Mfano kwangu its more than six months..bado tu akipiga ninapata butterflies, nimeshakaa nae kwa muda na kila ninapofikiria some butterflies aisee wanagombana .......ndo maana nauliza ni kwa muda gani? Ili ikipita hata nikiwasikia wakiniimbia verse nsishtukae nijue ni infatuation?
 
Hongera kwa hilo, kupenda kwa kichwa na si kwa moyo kuna umuhimu wake hasa kama unaweza.

kwani wewe upofu wa mapenzi unauelewaje? Labda tunaelewa kwa namna tofauti? Ni lazima uwe kipofu ndio uonekane umependa kwa moyo?
 
sun wu,hebu niambie kupenda ni nini ili ujue kama kupenda kunafundishwa au unajua tu from no where!
 
Last edited by a moderator:
we acha ushawahi kusikia kwa jiran anaitwa mtu mwingine sababu tu kuna kaherufi kanafanana na umpendaye unashtuka mapenzi ya kweli huwa hayafi jipe muda kama nafasi ipo ipe nafsi kitu inapenda

Ukijua kupenda ni nini hauitaji muda!
 
kwani wewe upofu wa mapenzi unauelewaje? Labda tunaelewa kwa namna tofauti? Ni lazima uwe kipofu ndio uonekane umependa kwa moyo?

Khaaa...........Hussy......we mdogo ila mkubwa aisee..hiyo upofu aisee inahuu..............
 
kwani wewe upofu wa mapenzi unauelewaje? Labda tunaelewa kwa namna tofauti? Ni lazima uwe kipofu ndio uonekane umependa kwa moyo?

Wajinga ndo wana upofu wa mapenzi,mtu makini anaejua upendo ni nini hana upofu!
 
Back
Top Bottom