When Does the Infatuation ends.......? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

When Does the Infatuation ends.......?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, Apr 26, 2012.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Dears
  Wazima?

  Nimejikuta napitiwa na hili kichwani................... Is there a line to draw between infatuation and love? Mara nyingi tumekuwa tukiambiwa kuwa unachokihisi si penzi halisi bali ni (sijui kama tamanio ni right word coz pia kuna lust na infatuation) infatuation. Sasa je kuna kipimo chochote cha kukwambia kuwa this is the zone ambayo ukiipita basi ina maana what you feel is more than infatuation? Kama ipo inapimwaje?
  1. Kama ni kwa umri............ wa mahusiano ni muda gani unatakiwa kupita ili uwezejua kuwa its real love and not infatuation?
  2. Kama ni feelings............is there a line where the feelings based in infatuation zinafade na kupisha hisia za kweli?
  3. Is there a possibility of infatuation lasting for ever??

  Nauliza tu wapendwa, naombeni mnisaidie
   
 2. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,651
  Trophy Points: 280
  Kwa ufaham wangu. . . . . .Upendo na matamanio au vyovyote utakavyoita ni vitu viwili tofauti na havichangamani,ni kama maji na mafuta.Tatizo kubwa sana lililopo kwenye jamii yetu ni kuwa hatukufundishwa maana ya kupenda au kupenda ni kitu gani.Tumejikuta wakubwa na tumeamua kujitafsiria mambo hovyohovyo.Matokeo yake tunatamaniana halafu tunaita upendo.Upendo ni hali ya juu kabisa ya hisia,kila mmoja wetu anahitaji upendo,haijalishi ukoje na una nini.Ukiujua upendo umejua maana ya maisha na utayafurahia na utapata furaha ya kweli.Swali linakuja. . .Upendo nini?Ni vigumu sana kuelezea upendo ila kwa kifupi upendo ni KUMKUBALI AU KUJIKUBALI BILA MASHARTI!
   
 3. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Well Love.. (takes time to grow) Tamaa Lust (Short lived) ingawa hakuna guarantee kwamba tamaa na lust wont develop into deep love.., Infatuations.. (well time will tell kama ile uliyokuwa nayo ni infatuations) cause it not long lived.., Ingawa hata Love ya kweli does not mean kwamba ukiwa dissapointed haiwezi ikafa (hence short lived)

   
 4. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Aksante sana Eiyer..hili ni janga katika mapenzi na inawezekana wengi wako wanasuffer kutokana na kushindwa kutofautisha kati ya infatuation na real love............lakini je ni kweli kuna mpaka kati ya hivi vitu viwili? Lini unawezasema kuwa hapa sasa nimeingia kwenye penzi la kweli na si matamanio?
   
 5. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Upendo unafundishwa...?
  Mi nadhani chochote, feelings zinazokufanya kupenda kuwa na mtu fulani, kufurahia company yake, (basi ni vema ku-cherish).., does not matter hicho kitu utakibatiza jina gani..

  Kumbuka chochote kile utakacho-feel leo (matendo ya mwenza wako, na kupalilia kile kilichopo) kitafanya kama mwezi kesho au mwaka kesho feelings zako kwa huyo mtu... (whatever you want to call that chochote)
   
 6. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  love ni love -long term commitment ya body na soul,ni permanent
  matamaninio ni matamanio-ni short commitment ya body -haina nguvu,ni flexible ni temporary,
  but matamanio yanaweza kujenga love
  ila love haiwezi jenga matamanio
   
 7. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ..........Okay, thats one measure- Muda (time) - can we have its measurable indicator? kuwa it takes time ? muda gani? One month?, year? au weeks?

  Hiyo ya true love ikawa disappointed inakufa mh I doubt........ it aint die mydarling, it fades...... utaifeel daima sema itafika sehemu uirelease but not burrying it
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  90% ya wanaonitaka naona wananitamani tu
  wachache wananilove
  i need a soul mate na sio body mate
   
 9. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwani unajiskiaje?
  Umeshapita muda gani tangu ujisikie kihivyo?
  Kwa kifupi mwanzo wa penzi hasa la ghafla utajisikia hali
  fulani ya kusadikika ambayo ukishapita muda wa kutosha
  utaanza kuwa kwenye ulimwengu halisi, macho yako
  yataona ukweli na akili yako itaweza kuchakata mambo.
  Utajikuta kila jambo unalipima na kuliweka kwenye uhalisia.
  Ukiona hivyo ujue infatuation ishapita.
   
 10. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #10
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Da Mdogo aksante sana umeiweka vema but je kuna muda maalumu?? Mfano Mj1 nimekufa nimeoza kwenye relationship ya mtu ambaye nimekuwa naye kwenye contact naye kwa mwaka mmoja, I still feel those butterflies in my stomach everytime he calls, SMS, emails or even when I think of him, je nikuendelea kufeel the same kwa muda gani ndo ninawezajudge kuwa its more than infatuation??
   
 11. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #11
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mapenzi upofu ,mwanzoni hata kama mtu mfupi utaona mrefu, moyo mdanganyifu sana jamani
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Da mkubwa umekuwa infatuated with mbu halafu unaona inalast long eeh!
  Mi niliwahi kutamani (ila tamaa yangu ilikuwa na upendo wa kweli) iliisha nilipogundua kuwa niliyemtamani siwezi kuwa nae.
  Nafikiri hata kwa wengine, tamaa huisha pale unapokuta mambo ni tofauti na ulivyokuwa unaimagine au unaposhindwa kupata unachokitamani.
   
 13. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #13
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kama mwaka umepita hapo upo kwenye real love sasa.ndo penyewe.matamanio yanaisha tu ndani ya muda mfupi,hujawai kuona wapenzi siku mbili tu hakuna feelings kabisa while mwanzoni kila mtu alikuwa crazy na mwenzie?
   
 14. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #14
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Su wu umejibu vema but swali langu ni kuwa, honestly nimeshakuwa kwenye stage ambayo inafit infatuation............... yaani zile raha, moyo kwenda mbio na hali ya kuhisi kuwa bila yeye wewe hufai umekuja kimakosa duniani yaani zipo ila najiuliza ni kwa muda gani inatakiwa feeling hii kulast? Je kuna muda ambao ni permanent kuwa ukipita basi ni kama akili inafunguka na kukualert kuwa hey that or this is not love bali ni infatuation??
   
 15. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #15
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  miss u my angel sis :focus:
  :focus::focus:sitaki uchakachuzi hapa
   
 16. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #16
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Luv takes tym.
   
 17. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #17
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Baby gal.......Soulmates wapo aisee..sikuwa ninaamini until nilipokutana na Soulmate Mbu lol......... so perfect aisee
  Tulia utabarikiwa
   
 18. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #18
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  King Kong III umepotea sana.........Yes it does but how long?? maana hata nkiwa kwenye relationship ya miaka m3 bado nawezasema muda haujafika for me kujudge kuwa its enough time? How time is time??
   
 19. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #19
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  u a lucky naona mbu ni soul mate na body mate vilevile perfect combination
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  miss u 2 dear, uchakachuzi nilishaacha haswa kwenye mathread yenye akili kama ya da mkubwa. We ushawahi kutamani? (useme ukweli hapa).
   
Loading...