When Does the Infatuation ends.......?

When Does the Infatuation ends.......?

Hahah [MENTION=162618] alsHARPTON hiyo kulikoni nkuulize weye ndugu yangu..... kisa? Thread ya zama za kale za mawe mpenzi hii

Nimeupenda huu uzi esp wajua miaka ile ambapo JF ilikuwa ni kisima cha mawazo na hekima contrary to nowadays
 
Last edited by a moderator:
Dears
Wazima?

Nimejikuta napitiwa na hili kichwani................... Is there a line to draw between infatuation and love? Mara nyingi tumekuwa tukiambiwa kuwa unachokihisi si penzi halisi bali ni (sijui kama tamanio ni right word coz pia kuna lust na infatuation) infatuation. Sasa je kuna kipimo chochote cha kukwambia kuwa this is the zone ambayo ukiipita basi ina maana what you feel is more than infatuation? Kama ipo inapimwaje?
1. Kama ni kwa umri............ wa mahusiano ni muda gani unatakiwa kupita ili uwezejua kuwa its real love and not infatuation?
2. Kama ni feelings............is there a line where the feelings based in infatuation zinafade na kupisha hisia za kweli?
3. Is there a possibility of infatuation lasting for ever??

Nauliza tu wapendwa, naombeni mnisaidie
Sounds like someone can't help falling in love🙂
 
Da Mdogo aksante sana umeiweka vema but je kuna muda maalumu?? Mfano Mj1 nimekufa nimeoza kwenye relationship ya mtu ambaye nimekuwa naye kwenye contact naye kwa mwaka mmoja, I still feel those butterflies in my stomach everytime he calls, SMS, emails or even when I think of him, je nikuendelea kufeel the same kwa muda gani ndo ninawezajudge kuwa its more than infatuation??

Umenikumbusha mbali sana maana nikishawahi kupendaga na kuhisi stomach butterflies yaani akipiga simu natetemeka nikipata sms nachanganyikiwa but as times goes on nikaja kugundua yeye hafeel the same au pengine alipata mwingine. Ilinikata stim nkaona niachane nae. mi naona ita last kama wote mko kwenye page moja vinginevyo unaweza kukata tamaa mapema sana.
 
90% ya wanaonitaka naona wananitamani tu
wachache wananilove
i need a soul mate na sio body mate

Ni kweli mahusiano yanaitaji soul mate mtu ataekupenda bila kuwa na sababu. Vinginevyo kama ni matamanio tu kuachana ni rahisi sana.
 
Back
Top Bottom