Mtuache 🤣Ndiyo nyie mnajifanyaga watu wazima 😀
Educated.. elite.. kisa hamuwekagi status
Bro naangalia movie legend of shenliKaribu tuangalie komborela
Huwezi kumpenda mtu bila sababu.Nawapenda sana wapost memes… me kama
Mtu haweki memes au bible verses ajue sifunguagi status yake 😀
Mpaka nikupost birthday status… aloooo wee jipige kifua mara 3. Maana ntakuwa nakupenda sanaa 💕
Amejuaje kama wewe ni kijana mlaini?Aisee
Bas hapo unajiona uko focused na maishaHivi ndivyo ilivyo Whatsapp status yangu kimaudhui
Dini (Mahubiri, nyimbo, Aya za biblia n.k)-50%
Mpira-20%
Matukio(ndoa, birthdays, misiba n.k)-20%
Fursa za uchumi,biashara-5%
Memes, Quotes-5%
Hamna shida Kipenzi ChanguNakupigia unielekeze kipenzi.
Ooh. Saafi.Ila najua ku-hide watu wanaopost ujinga-ujinga
2017 whatsapp ilikua na status section kweli!?, looh wajaaaa🙌🏻Mara ya mwisho nimeweka status post 2017
Umeanza kutumia lini cm ?2017 whatsapp ilikua na status section kweli!?, looh wajaaaa🙌🏻
Na ilikua cm ganUmeanza kutumia lini cm ?
2004.... wewe je?Umeanza kutumia lini cm ?
Wasioweka status na wasiopokea namba ngeni huwa wanajikuta watu special kumbe ni wapuuzi tu.nikashinde kinondoni kila mtu na maisha yake uweke usiweke
washenzi abadani
kuna umri ukifika utaelewa
Sio umri ni insecurities zinawasumbua.kuna umri ukifika utaelewa
Unlike women, who often use social platforms to socialize and share daily experiences, matured men typically view apps like WhatsApp as functional tools. They use them to message, call, or manage logistics rather than to broadcast their lives.Sio umri ni insecurities zinawasumbua.
Kama mimi na huwa si view status za mtu😆😆nime mute woteMine 0% 😁
Wewe umeshindikana! Huwezi mute watu wote🤣Kama mimi na huwa si view status za mtu😆😆nime mute wote
Ilikuwepo ndio tulikuwa tunawalazimisha wapenzi watupost birthday zetu😎2017 whatsapp ilikua na status section kweli!?, looh wajaaaa🙌🏻
Nimemute nikiona tu status imetokea pale juu namute status imekua uwanja wa majigambo,kuchambana,na kufanyaje sijui Bora wanao post biashara😆Wewe umeshindikana! Huwezi mute watu wote🤣