Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,653
- 66,580
Kupost mapochopocho 75%
My photo when am happy 10%
Memes 30%
Dini 60%
mapenzi 10%
My photo when am happy 10%
Memes 30%
Dini 60%
mapenzi 10%
Uwii nimecheka! Sema ukizoea kuziview unaona kawaida tu wala huwajali mimi huwa naview naweka simu pembeni naingia kuoga zikiisha zitatoka zenyewe😁Nimemute nikiona tu status imetokea pale juu namute status imekua uwanja wa majigambo,kuchambana,na kufanyaje sijui Bora wanao post biashara😆
🫡🫡🫡TushajizeekeaView attachment 3589724
hiyo 75% ndio mapishi?Kupost mapochopocho 75%
My photo when am happy 10%
Memes 30%
Dini 60%
mapenzi 10%
Ndio mzee mwezanguhiyo 75% ndio mapishi?
MZee wa masufuriaNdio mzee mwezangu
Malizia na ndizi nyamaMZee wa masufuria
Kaweke na statusMalizia na ndizi nyama
Sio kila kitu na nikiona una post utoto mwingi unaingia mutedKaweke na status
Huwezi kuniambia unaacha kutumia WhatsApp kwakuwa kila muda unataka kuona nani kapost nini?
Whatsapp inakutaka kila mara una scrow kuangalia yup kapost nini,,,
Sihitaji kurudi tena whatsapp mkuu...nimezoea now,mwenye issue muhimu namtumia email anitumie..Huwezi kuniambia unaacha kutumia WhatsApp kwakuwa kila muda unataka kuona nani kapost nini?
Option no. 1 ni kuhide status za watu ambao hutaki kuona status zao
Option no.2 Fanya kama segment ya status haipo,baada ya muda utasahau hata kama ipo hapo,hivyo utaacha kuichungulia kabisa, kuna mtu namjua hana habar kabisa na status
Na mie nimekumbuka, unajua unaweza ukaona 2017 ni mbali sana kumbe ni hapo tu, duhIlikuwepo ndio tulikuwa tunawalazimisha wapenzi watupost birthday zetu😎
Sio hata mbali wengine tulikuwa chuo kabisa unajipost uko club na kipensi kakangu alikua ananichamba🤣Na mie nimekumbuka, unajua unaweza ukaona 2017 ni mbali sana kumbe ni hapo tu, duh
I mostly post dance videos
Dejay
View: https://www.instagram.com/reel/DYZNS-OMBrE/?igsh=MWRqYXhoajAzbnIwcA==
Hii mbona ishazidi 100% 🤣 🤣 🤣Kupost mapochopocho 75%
My photo when am happy 10%
Memes 30%
Dini 60%
mapenzi 10%