WhatsApp Status yangu

WhatsApp Status yangu

Sahihi mkuu..ila nimegundua pia unaweza kuishi vizuri bila hata kutumia whatsapp. Nliwahi pata changamoto moja ikanifanya niwe nje ya whatsapp for a while,,nikazoea ile hali...nilivyo rejea nkakosa kabisa mzuka na whatsapp.

Nikaiondoa kabisa makusudi,,nimegundua i can live well bila whatsapp..watu wa karibu nawajuza tu imecollapse so kama kuna doc nitumiwe kwa email.

Simu ya ofisi binafsi ndo ina whatsapp kwa ajili ya matangazo ya biashara na kuwafikia wateja haraka.

Whatsapp inakutaka kila mara una scrow kuangalia yup kapost nini,,,
Mimi pia kuna kipindi nili uninstall WhatsApp app km miezi 4 hivi. Basi tu niliamua mwenyewe. I say nilikuwa na amani mnoo, na mm sina insta wala Facebook wala tiktok sijui. Nilikuwa naingia JF tu
Hivi karibuni nimejiwa na mawazo hayo sana tu ni uninstall lkn now nashindwa kwa sbb ya business. Naona natumia sana WhatsApp kwa kazi na business na sina alternative 😞
 
Safi mkuu,kuna amani ya moyo binafsi naipata,,whatsapp kila mara unataka uchungulie...magroup kibao,kila mara mtu unapata notification.

Mimi nina contact mahsusi kwa ajili ya biashara tu dukani...hyo ndo ina whatsapp kwa ajili ya kupost bidhaa na mawasiliano na wateja.

Hii namba nyingine ni kwa matumizi tu binafsi..ndo ambayo nimedelete kabisa whatsapp account..sina social network nyingine tofauti na Jamii forums
 
Nawapenda sana wapost memes… me kama
Mtu haweki memes au bible verses ajue sifunguagi status yake 😀

Mpaka nikupost birthday status… aloooo wee jipige kifua mara 3. Maana ntakuwa nakupenda sanaa 💕
Watu mnalinda status zenu kwa wivu mkubwa sana.
 
Uposti, Usiposti kama wewe ni maskini choka mbaya, Ni maskini tu!

Kama wewe ni kilaza ni kilaza tu!

Hakuna u-smart wowote unaotokana na kuficha ficha maisha yako.

Ufiche usifiche, kama huna hela, huna tu!

Watu maarufu na matajiri kama wasanii na wachezaji wanaposti kwenye social media zao, Wewe kapuku maskini choka mbaya unajifanya maisha yako ni private sanaa!!

Kumbe ni ufukara tu, unaficha.
 
Back
Top Bottom