AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 10,595
- 17,135
PeasantMine 0% 😁
PeasantMine 0% 😁
Mimba yako unaikimbiaje?Kuna jamaa aliandika anaumwa, anahisi kichefuchefu kmmmkee nikafuta Namba hapo hapo
Siwezi.. mambo ya unampost unamfunika na emoj, mara uhide wazazi wako wasione. Siwezi wallah 🗑️😀😀Hata mimi mchumbao hauwezi kuni post.?
Siwezi.. mambo ya unampost unamfunika na emoj, mara uhide wazazi wako wasione. Siwezi wallah 🗑️😀😀
Weka humu 🗑️Wazazi wetu hawana shida
Ni watu waelewa sana.
Wewe ni post tu hata kwa view once kwenye group lenu la familia.
SitakiWeka humu 🗑️
Mwanaume?Sása mtu akisikia kichefuchefu asiseme jameni 😁
NAKUPENDA SANAnakupenda sanaa
Weka humu 🗑️NAKUPENDA SANA
Hebu toka hapa we naaye. 🤣🤣Hivi ukitaka kuweka status unabonyeza wapi?
Nakupigia unielekeze kipenzi. Ila najua ku-hide watu wanaopost ujinga-ujingaHebu toka hapa we naaye. 🤣🤣
Kwa hiyo ndo kusema hujui. Lol
Nimecheka sanaSema wadau wanavyoikandia watsap status unaweza kuhisi ni watu fulani waliojipata, au wako busy na ugunduzi wa vitu vya maana au wanaendesha makampuni makubwa makubwa kumbe wao wasiopost na wanaopost wote ni mambugila tu chini ya utawala wa mama dula.
MwenyewePeasant
Humu hakuna makapuku na wala hatupost status😎Sema wadau wanavyoikandia watsap status unaweza kuhisi ni watu fulani waliojipata, au wako busy na ugunduzi wa vitu vya maana au wanaendesha makampuni makubwa makubwa kumbe wao wasiopost na wanaopost wote ni mambugila tu chini ya utawala wa mama dula.
Wala hatutacheleweshana sisi dk 2 mbelee⚔️🤸🏽♀️leo nimeanza kukupenda mapema sana, mpaka ifike jioni nadhan utakua umeniburudisha mno
Unakula mmea wewe ni peasant sasa unakataa nini?Mwenyewe
For what? To please who?🤷🏽♀️even profile pic !