RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 58,375
- 131,623
Umenikumbusha mbali. Ilikuwa around 2013 hivi nilienda Mtwara sasa night moja tukaenda club ilikuwa wamejaa watoto wa chuo kila demu wa chuo kavaa kipensiSio hata mbali wengine tulikuwa chuo kabisa unajipost uko club na kipensi kakangu alikua ananichamba🤣