ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,589
- 130,953
Everlenk, wapo wanawake wa hivyo, nina uhakika sana. Ndio maana huwa sizipendi groups za whatsapp coz naboreka nikisoma hisia za namna hiyo. Ni kweli kila mtu ana uhuru wa kusema anachotaka, lakini tuwe na break angalau tusitiri wenza wetu.My hubby it's very true ila mnafikiri huwa tunawasema vibaya walaaaa hata umemsoma hapo dada King'asti alivyosema yaani huwa tunawasifia hatari hadi aibuuuu ukikuta mwanamke anaanika siri zako ujue yaani wewe umeshindikana haswaaa na haushauriki kwa lolote.
Kuna siku nilipata kusoma shots za wadada wanaojadili mambo kama hayo, unajiuliza hivi hawa wanawaza nini kwa kujadili ujinga kama huu, ila hayo ndio maisha, ni lazima tuwe tofauti...