WhatsApp Groups za wake zetu hutuvua nguo wanaume

Hahaha. Mnaweweseka tu. Wanawake huwa wanasifiana uongo hatari! Infact unaweza kujisikia aibu jinsi ambavyo mkeo anakusifia huko na huna hata nusu ya hizo sifa. Ndio mwanzo wa kujiskia kama mkeo anakuchora

Ni kama ulikuwepo kichwani mwangu.

Ila, licha ya uongo, ya ukweli huwa yapo pia.

Kwa kifupi, ni aibu na fedheha hususan kwa wamama kusimuliana na kuhadithiana mambo yao ya chumbani.
 
Ati wasema???

Hapa mtaani kwetu watoto wadogo wa kike wenye smartphones(form one,two,three na kuendelea) wanajiunga kwa wingi kwenye social media kama vile badoo,waplog,twoo e.t.c na kinachotokea wanakuwa-downloaded kutoka kwenye hizo social media daily na kuishia kufungiwa guests!!!Wewe pia kuna Siku utakuwa mama na wala hutakaa uyagundue haya!
 
naskia stor za wenzang wanavyonyoooshwa kwa bed.. nitofaut naww vp nisiulize kwa wenzang,? nasema .....ikibid naenda kutafuta mnyooosho
Utasikiaje ukisikia mumeo anakusema kwa rafikizake kuwa huko chini unamwaga maji-taka utadhani mdau wa Dawasco?
 
You must be kama wale wa corner bar,yaani MALAYA...kwanini usijifungie chumbani na mwenza wako mkaelekezana jinsi yakuridhishana hadi ukatoe siri zenu za chumbani?unafahamu nini maana ya ndoa wewe..?kama umeolewa wewe umeolewa fashion na kama ungekutana na mimi kisha nishtukie mawazo yako haya shingo yako ingekuwa haki yangu.
Hahahhahha....
 
Hapa mtaani kwetu watoto wadogo wa kike wenye smartphones(form one,two,three na kuendelea) wanajiunga kwa wingi kwenye social media kama vile badoo,waplog,twoo e.t.c na kinachotokea wanakuwa-downloaded kutoka kwenye hizo social media daily na kuishia kufungiwa guests!!!Wewe pia kuna Siku utakuwa mama na wala hutakaa uyagundue haya!
Mungu anisaidie tu jamani!
Ila wanangu nitawalelea katika misingi thabiti ya dini,hiyo ndio njia pekee maana hakuna namna nyingine tena.
 
Wala sio Whatsapp tu.
Tena bora huko wasapu kundi halizidi watu mia. Huko fesibuku mmejiona?
Mtu anajisifia anavyomnyanyasa mama mkwe kwenye kundi la watu 5,000++
Wanaume kama mngekua werevu kama mnavyojidai wala msingeoa wanawake.
Mngeoana wenyewe kwa wenyewe.
Ni ujinga kuoa mwanafunzi wa kipofi (eti wanawake mwalimu wao kipofu)
 
Lol tuoane wenyewe kwa wenyewe hii ni balaa
 
Wala sio Whatsapp tu.
Tena bora huko wasapu kundi halizidi watu mia. Huko fesibuku mmejiona?
Mtu anajisifia anavyomnyanyasa mama mkwe kwenye kundi la watu 5,000++
Wanaume kama mngekua werevu kama mnavyojidai wala msingeoa wanawake.
Mngeoana wenyewe kwa wenyewe.
Ni ujinga kuoa mwanafunzi wa kipofi (eti wanawake mwalimu wao kipofu)
Tuoane wenyewe kwa wenyewe? We mtoto umerogwa na nani?
 
Back
Top Bottom