Washamba shamba ndio washangaaji mjini.Nilitaka nishangae kondakta wa Mbagala Konda wa bodaboda asi-like hapa.
Yaani maswala ya wanawake hasi lazima awepo.
Anyway.....Sabuni utakayoogea ndio uyakayonukia.
Kosa letu hutumia zana kimchezomcheo baada ya kutumia kimafanikioHii ndiyo hasara ya mitandao ila bado tusubir na zingine Kwa maana zipo njian
Wewe jamaa una comment zinazofikirisha sana, hahaha.Kuna kila sababu ya wanandoa kupimwa akili kabla ya hata ya kuoana...na kama ikiwezekana kila baada ya miezi sita wawe wanapimwa tena akili na liwe ni zoezi endelevu...
Huo ndio ukweli na ni ukweli mtupu.Na mwanamke asiyeweza kutunza siri za chumbani basi hata sehemu zake za siri.hawezi kuzitunza pia
Washamba shamba ndio washangaaji mjini.
Wajinga ndio waliwaoGroup hadi viingilio?
NimekumissHebu hukoooo
Hakuna kitu kama hicho...Tabia ya mkeo ni reflection ya tabia yako. Otherwise, msingekuwa pamoja.
Mbona tayari mnazo.
Wala sio Whatsapp tu.
Tena bora huko wasapu kundi halizidi watu mia. Huko fesibuku mmejiona?
Mtu anajisifia anavyomnyanyasa mama mkwe kwenye kundi la watu 5,000++
Wanaume kama mngekua werevu kama mnavyojidai wala msingeoa wanawake.
Mngeoana wenyewe kwa wenyewe.
Ni ujinga kuoa mwanafunzi wa kipofi (eti wanawake mwalimu wao kipofu)
Zote tuKama???
Zote tu
Siamini kama na ww ni gume gume mkuunaskia stor za wenzang wanavyonyoooshwa kwa bed.. nitofaut naww vp nisiulize kwa wenzang,? nasema .....ikibid naenda kutafuta mnyooosho
Nipo.Nimekumiss
Hehehe.. Ni sifa zipi zinaruhusu mtu kujiunga na hilo darasa?Nipo.
Ila niko busy na group la kuwafunda wanaume mie na Evelyn Salt.
Wanaume ninyi wa siku hizi masikio yenu mpaka yazibuliwe na sindano
Hatukufi Leo wala kesho.. Mpaka yatimie maandiko🙂
Ni shughuli pevu mambo yamekua mambo darasa limekua darasa..... Big up kwa wanaoleta feedback kuwa mambo ni poa 😀Nipo.
Ila niko busy na group la kuwafunda wanaume mie na Evelyn Salt.
Wanaume ninyi wa siku hizi masikio yenu mpaka yazibuliwe na sindano