WhatsApp Groups za wake zetu hutuvua nguo wanaume

WhatsApp Groups za wake zetu hutuvua nguo wanaume

Kumekuwa na haka katabia ka wake za watu kuwa katika groups za WhatsApp. Group hizi hujitambulisha kama za wanafunzi wa zamani, mapishi, kufundana, maombi, 'vikoba' n.k. Baadhi ya makundi yana viingilio hadi 50,000/= huku administrator akiwa kama kungwi.

Wanawake wamekuwa wakifunguka namna ya kuridhisha mabwana zao na pia kutoa udhaifu kedekede wa wenza wao kama kutowafikisha kileleni, dushe dogo, n.k. Kila ukifanya kitu na mkeo basi mwenzako ana post.

Jamaa yangu juzi kanyaka simu ya mfanyakazi mwenzake wa kike, akajua udhaifu wa mumewe. Hakupata shida ya kumtokea na kumvua nguo. Yaani ni aibu.
Wanawake wa namna hiyo ni wapumbavu wamepitiliza! Kama kweli wanaamini upuuzi wa kwenye magroup au mitandao hawafai kuwa mama bora wa familia
 
Mungu anisaidie tu jamani!
Ila wanangu nitawalelea katika misingi thabiti ya dini,hiyo ndio njia pekee maana hakuna namna nyingine tena.
kuna magroup huko huko kwenye dini!sijui Bible...sijui Quran group...!bora usiwanunulie simu!
 
You must be kama wale wa corner bar,yaani MALAYA...kwanini usijifungie chumbani na mwenza wako mkaelekezana jinsi yakuridhishana hadi ukatoe siri zenu za chumbani?unafahamu nini maana ya ndoa wewe..?kama umeolewa wewe umeolewa fashion na kama ungekutana na mimi kisha nishtukie mawazo yako haya shingo yako ingekuwa haki yangu.

Kumbe suluhisho mnalo, sasa hizi ambazo kila siku mnazifungulia thread humu ni kuwa hamna vyumba vya kujifungia?
 
Last edited:
Ukioa/Ukiolewa na mtu asiyetambua utu wako na wake hizo tabu lazima zikupate. Mtu anayetoa siri za chumbani kwa strangers hafai kuitwa mke/ mume coz hajui maana ya ndoa.

Wacha we!!
 
Ahahaha nimecheka sana kwa kweli!Kama nina kibamia mke anawaambia marafiki zake?Ndoa gani sasa hiyo?

Hakuna "mke" anayeweza kumdhalilisha hivyo mumewe, anaweza akawasilisha ujumbe hata kwa kusingizia rafiki au yeyote lkn hawezi sema "mume wangu ana kibamia" kwanza wanawake tunasifika kwa kuwapa sifa nzuri za uongo ambazo hata hamna.
 
Hakuna "mke" anayeweza kumdhalilisha hivyo mumewe, anaweza akawasilisha ujumbe hata kwa kusingizia rafiki au yeyote lkn hawezi sema "mume wangu ana kibamia" kwanza wanawake tunasifika kwa kuwapa sifa nzuri za uongo ambazo hata hamna.

Wacha we!!
 
Sasa kuutwa humu kuwasema vibaya wanawake. Na nikiangalia nao wanavyowasema nabaki na viulizo tu.
Shangaaa na wewe best maana akinya kuku kanya akinya bata kaharisha.......nashangaa sana wanaume humu wanavyoshambulia wakati wao ndo wa kwanza kila siku kusema wanawake humu kila mada wanawake hivi mada haziishi kuwasema vibaya wanawake, kwanza shukuruni wanawake hata wanawahadithia wanawake wenzao kuliko nyie ambao hadi mwaenda kuiambia na michepuko yenu mke wangu hivi mke wangu vile......
 
Nahisi mungu alipunguzia wanaume madhaifu yao kwa kumtoa mwanamke toka ubavuni mwao
 
Back
Top Bottom