KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,072
- 40,654
Ni dhahiri mkuu huwezi kutoka nje ya maagizo ya muumba na ukabaki salama....Umeongea vyema mkuu. Mi nadhani huu usawa wanaoudai mwisho wa siku itakula kwao. Itafikia wanaume watajitoa na kufanya wengi kuwa single mothers. Ni hapo watakapoona faida ya hizi harakati. Inaweza isiwe kesho wala mwaka ujao lakini mwisho wa hizo harakati ndo huo hata iwe baada ya miaka 100.