WhatsApp Groups za wake zetu hutuvua nguo wanaume

WhatsApp Groups za wake zetu hutuvua nguo wanaume

Nakubaliana na maoni yako, lakini kuwe na mipaka ya kile mtu anachotaka kuongea na rafiki zake. Siku hizi hata wanaume wanakaa na kuanika madhaifu ya wake zao, kwangu its disgusting kwa sababu zipo njia nyingi za kupeleka ujumbe, sio lazima kumsema mke/mume hadharani kuwa hawezi hiki au kile, au ana dushe kubwa/dogo.
Ndoa ni kujengana coz we're all imperfect!!!
 
Nakubaliana na maoni yako, lakini kuwe na mipaka ya kile mtu anachotaka kuongea na rafiki zake. Siku hizi hata wanaume wanakaa na kuanika madhaifu ya wake zao, kwangu its disgusting kwa sababu zipo njia nyingi za kupeleka ujumbe, sio lazima kumsema mke/mume hadharani kuwa hawezi hiki au kile, au ana dushe kubwa/dogo.
Ndoa ni kujengana coz we're all imperfect!!!
binafsi naamini hakuna ujuzi wa kujifunza kwa kuambiwa. Naamini kila mmoja huwa ana mapungufu yake lakini ambayo yanaweza kutatuliwa ndani ya ndoa. Mnapokuwa wawazi katika mahusiano huepusha yale madogo na makubwa ambayo mngeyapitia.

Ni vizuri mkakaa na mume/mkeo kujadili udhaifu unaojitokeza katika ndoa yenu ili kutazama jinsi ya kuutatua kuliko kukimbilia kwenye WhatsAp groups ambazo hazina maana wala uwezo wa kutatua matatizo Yenu.

Wanawake wengi wanapoteza ndoa na kuvunja mahusiano yao kwa kutokujitambua. Mwanamke kamili na aliyefundishwa kamwe hawezi kuacha kushauriana na mwenza wake na kukimbilia kwenye Groups ambazo hata hao walimu wenyewe hawana ndoa wala uzoefu wowote wa ndani ya ndoa.

Mkiekana wazi na mumeo na kujaribu kutatua matatizo yenu itakuwa ni hatua kubwa katika kujilinda na kuepuka mikwaruzano ya hapa na pale.

Ndoa ni mikono yenu
 
Hii yenye viingilio mpaka 50,000 mbona kama haina uhalisia.
 
Sidhani kama mkeo anaweza kukuanika namna hiyo mbele ya kadamnasi kama anakupenda. Vinginevo atatafuta namna nzuri kuwasilisha hoja yake kwajili ya kupata msaada na si kwania ya kukudhalilisha
Hao wanaweza sana yaani kifupi inawabeba sifa ya mama zetu but akili zao wengi wao wanazijua wenyewe.Huwa nawatafakari kisha nakosa jibu.
 
Nyie wanaume group zenu zikoje mbona kutwa kutumiana makalio na picha za utupu tena waume zawatu
 
Kuna grup hilo tuliingia mimi na shoga angu sophial walidhani tumeolewa..duh wamama wanafunguka hao teh wanaume kazi wanayo...lakini kwa stress zao za ndoa hizi grups zinawasaidia kufarijiana ikiwa na kutafuta michepuko humo humo...
Word,tena zinawafariji sana na sana
 
You must be kama wale wa corner bar,yaani MALAYA...kwanini usijifungie chumbani na mwenza wako mkaelekezana jinsi yakuridhishana hadi ukatoe siri zenu za chumbani?unafahamu nini maana ya ndoa wewe..?kama umeolewa wewe umeolewa fashion na kama ungekutana na mimi kisha nishtukie mawazo yako haya shingo yako ingekuwa haki yangu.
Mtu anayejua maana ya ndoa hawezi kuwa huyo dada...huyo ni wale wa kuchepukiwa tu na kuachwa.
 
Cha ajabu eti unakuta mfundaji ni mama wa kichagga akiwafunda watanga, Cc miss chagga
 
Back
Top Bottom