Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,014
- 5,610
Nipo honey, hata mimi nimekumisije? Nilikua nimefungwa tu na ma paper haya ila sasa nimerudi rasmi.Mwali mie memiss wewe sana! How are you?
Hata hivo nilikua JF by night zaidi...
Umeona vituko vya Babu? hadi I feel embarassed kua na babu kama huyu kwa kweli... dah!:shock: