What is your "Sweetest" Childhood Memory?? THAT It made you feel So Good and Speacial!

Mwali mie memiss wewe sana! How are you?
Nipo honey, hata mimi nimekumisije? Nilikua nimefungwa tu na ma paper haya ila sasa nimerudi rasmi.
Hata hivo nilikua JF by night zaidi...
Umeona vituko vya Babu? hadi I feel embarassed kua na babu kama huyu kwa kweli... dah!:shock:
 
Asha nime noti kimoja hapa,mboko.Scoffield,Nasikini jeuri,Nitonye et al wanaongelea experience ya kulambwa mboko utotoni,Scoffiel na Maskini Jeuri wana appreciate faida ya mboko hizo. I happen to be mmoja wa ambao hawakupigwa na mama wala baba na wanangu ( eldest in mid 20's anajitegemea,youngest teeneger) na maishani mwao sijawahi kuwagusa na bakora na mama zao huwa nina wa discourage kuwachapa wanangu.
Do me a favour,ukipata muda shusha uzi maalum tujadili pros na cons za malezi haya ya bakora vs non bakora ( I for one i treat it as domestic violence)
Mama zao???
 
Nipo honey, hata mimi nimekumisije? Nilikua nimefungwa tu na ma paper haya ila sasa nimerudi rasmi.
Hata hivo nilikua JF by night zaidi...
Umeona vituko vya Babu? hadi I feel embarassed kua na babu kama huyu kwa kweli... dah!:shock:
Karibu tena Mwali wangu!....

Nimeona mpendwa mie nimepatwa na mshangao wa kufungia mwaka, manake nimezoea kusikia hadithi za babu zikiwapa funzo wajukuu ila za huyu hapana asee! Babu mzima na mkongojo wake anakusanya wajukuu afu anaanza kusimlia mambo ya aibu hivi???...khaaa! Huyu mie nahisi uzee umemjia vibaya!
 
Babu anaonekana alikua bad boy utotoni. (Me love bad boys :eyebrows: )
Mi kaniua hapo pakushughulika na chupi ya housegirl! lol
Nimekumbuka kingine, nilikua napenda sana baba akinishikisha uskani wa gari lake,
alafu nikitoka hapo naenda kumwambia mama kua najua kuendesha gari.
Wakati ule safety ya barabarani haikua issue saaaana... I was like 4 or 5 hivi.
 
Na toka lini mtu anayejua kushughulika na chupi za house gal akawa mtoto??? Hayo aliyafanya akiwa ana akili zote timamu manake mbona hakuchukua blauzi akachukua chupi?... Babu kapinda bana!..
 
Wewe Tedo hayo matumbo yalikua yanapona? lol.... Sijui whats it with kids na kula matunda kupita kipimo! hasa ya kuiba ndio rekodi inaonesha ni matamu kweli.... Umewahi kamatwa ukala kichapo?

eh bana kuna siku yule dingi alini note sura, asije home ndugu! kamueleza maza nilikula kichapo cha hatari.
 
Mama zao???
of course!
Bishanga Abashaija tajiri la kihaya unatarajia azae na mwanamke mmoja tu? ili iweje? nimezaa watoto wa kutosha na kinamama wa kutosha,na kwa sasa natafuta katoto kakuzeekea na ndo mana nawindawinda humu jf.
 
I like your signature, nilikua sijaisoma kabla ya leo. lol
 
Nilikuwa darasa la 5. Wakati nataka kutoroka shule, nikaona mwizi anaiba baiskeli kwenye parking ya baiskeli ya shule iliyokuwa karibu na ofisi ya headmaster.Nilipo piga ukelele mwizi anaiba baiskeli, secretary wa headmaster akatoka na mzee mfanya usafi. Wote wakanishauri nimfukuze. Nikamkibiza mpaka akaiacha ile baiskeli na nikairudisha mpaka shuleni.Siku ya pili yake nikatajwa kuwa ni shujaa na nikapewa zawadi ya pesa na headmaster. Tokea siku hiyo siku toroka tena shule.UTORO WA SHULE UKANIFANYA NIWE SHUJAA NA RAFIKI YA KILA MWANAFUNZI HAPO SHULENI.
 
of course!
Bishanga Abashaija tajiri la kihaya unatarajia azae na mwanamke mmoja tu? ili iweje? nimezaa watoto wa kutosha na kinamama wa kutosha,na kwa sasa natafuta katoto kakuzeekea na ndo mana nawindawinda humu jf.
Hongera zako! Huna kijana anaetafuta mke?
 
Nilikuwa darasa la 5. Wakati nataka kutoroka shule, nikaona mwizi anaiba baiskeli kwenye parking ya baiskeli ya shule iliyokuwa karibu na ofisi ya headmaster.Nilipo piga ukelele mwizi anaiba baiskeli, secretary wa headmaster akatoka na mzee mfanya usafi. Wote wakanishauri nimfukuze. Nikamkibiza mpaka akaiacha ile baiskeli na nikairudisha mpaka shuleni.Siku ya pili yake nikatajwa kuwa ni shujaa na nikapewa zawadi ya pesa na headmaster. Tokea siku hiyo siku toroka tena shule.UTORO WA SHULE UKANIFANYA NIWE SHUJAA NA RAFIKI YA KILA MWANAFUNZI HAPO SHULENI.
Hii nzuri sana.
 
Hahahah... Chup.i ya hausgel wetu ilikuwa inanikoma. Akiianika naivizia natimka nayo chooni. Naizungushia dudu yangu huku nikipump ashhh ashhh.... Nikimaliza nairudisha nikiwa nimeridhika vby! Siku alipokuja kunifumania akanivutia chumbani tukafanya tabia mbaya.... Alinibikiri yule mdada manina zake. Jidada hovyoo...

khaaaa hapa ulikuwa una miaka mingapi?umeanza mapema lol
 
Nakumbuka dada yangu alijifunza kuendesha baiskeli kabla yangu yaani roho ilikuwa inaniuma kukaa kwenye tricycle wakati mwenzangu ana-cruise na BMX.
Kuna kipindi mzee na mama wakasafiri tukaachwa na housegirl kwa kuwa nilikuwa bingwa wa piggy-bank saving scheme nikamuhonga Tsh 20 ili aniachie nijifunze baiskeli kutwa nzima bila kulala,kufanya assignment wala kunywa uji jioni.
Mpaka mishale ya saa 12 jioni hivi nikaweza kuendesha mwenyewe bila kushikiliwa na wapambe wangu.
Yaani nilifurahi saaaaaana,siku huyo nilishtuka kama mara mbili mida ya usiku ili kwenda kuangalia kama baiskeli bado ipo store kwa ajili ya mazoezi zaidi kesho yake.
 
huyo ndo sweet babu hahahaha ananipa raha kweli kweli,kama namuona alivyokuwa anawapiga fix wadada wa enzi zao lol

Hahahahaha!wala hujakosea swaiba,embu mpatie picha akiwa anahangaika kuweka kioo chini ya miguu ya kabinti ili tu aone rangi ya chupi hahahaha!ukubwan kaadvance ni mwendo wa kukagua wajukuu tu,hahahaha!ODM bwana!
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom