sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
Si unajua am only sweet 16, nafikiria kuwa mkweo...lolnnao,vipi kwani?
Si unajua am only sweet 16, nafikiria kuwa mkweo...lolnnao,vipi kwani?
Hongera zako! Huna kijana anaetafuta mke?
Si unajua am only sweet 16, nafikiria kuwa mkweo...lol
Aaah! No honey, worry not...nilidhani twaeza mpatia binti yetu ili kuendeleza undugu na urafiki wetu, au wewe waonaje?Unataka kumtafutia honey mbona swali lako limekaa kiutata utata
Namtania jamani khaaa! Hivi kuwa na mkwe kama Bishanga si hasara kabisa?...Nina gobole langu aliloniachia babu sasa nalipaka mafuta nikufyatue nalo
mmmmmhhh????Namtania jamani khaaa! Hivi kuwa na mkwe kama Bishanga si hasara kabisa?...
Ekyalema amahela naga!
Namtania jamani khaaa! Hivi kuwa na mkwe kama Bishanga si hasara kabisa?...
Nina gobole langu aliloniachia babu sasa nalipaka mafuta nikufyatue nalo
enkwi oshenya nalakutwekesa,sasa Nitonye atamweza kweli SL mtoto matawi?ha ha ha ha ha ha ha ....... This is the best...
Waitu.. Washag'enyomyo...!
Hahahaha! Khaaaa!Cantalasia, Kabakabana,Sweetlady na Mwali hapo juu. Tafazali acheni kuchakachua sredi ya shem wangu ADI. Ye kasema tumwage ya utotoni nyie mwasema nimepinda.... Ningewaambieni kisa cha mie kutahiriwa kwa zarura si mngekoma? Nlikuwa nakabiliana na tatizo la kukojoa kitandani nikaibuka na mbinu mpya, eti nikaziba govi kwa gundi.... Nilitesekaje?
Shemu nitafsirie kama kantukana nireport abuse..ha ha ha ha ha ha ha ....... This is the best...
Waitu.. Washag'enyomyo...!
Ekyalema amahela naga!
nikikukuta na mwanangu breki ya kwanza sentro,shambulio la aibu na kubaka andaeiji.Si unajua am only sweet 16, nafikiria kuwa mkweo...lol
Shemu nitafsirie kama kantukana nireport abuse..
Hahahaha! Nimecheka mpaka umeme umekatika lol...nikikukuta na mwanangu breki ya kwanza sentro,shambulio la aibu na kubaka andaeiji.
Olanaga bingaa?
Cantalasia, Kabakabana,Sweetlady na Mwali hapo juu. Tafazali acheni kuchakachua sredi ya shem wangu ADI. Ye kasema tumwage ya utotoni nyie mwasema nimepinda.... Ningewaambieni kisa cha mie kutahiriwa kwa zarura si mngekoma? Nlikuwa nakabiliana na tatizo la kukojoa kitandani nikaibuka na mbinu mpya, eti nikaziba govi kwa gundi.... Nilitesekaje?