what is your nick name???..... forget about your id.. lets chill here!

what is your nick name???..... forget about your id.. lets chill here!

Kwetu Da Chuma,

Kwangu Osama,

Kwa ofisi Mvurugaji
 
Nick name yangu "malkia wa manyuki"
maana najulikana sana ila natawa kama mwali,
nanata kama asali na ukijaribu kunivuruga
vijana wote wa mtaani watakuandama hadi utahama kijiji!
Kwanza ngoja nimuombe Invisible anibadilishie ID aiweke hiyo.
Sema wale watoto pori wa mtaani ambao nilisha waona humu
watanijua kumbe Mwali ndie mimi...
 
Last edited by a moderator:
Mwe... mimi nikitaja yangu hapa kuna watu wata locate hadi kijiji nilichozaliwa coz inafahamika hata kwa wale wasionifahamu kwa sura.. I opt to maintain a low profile....!
 
.....anatuchabo wasumbufu.
Shem mzima lakini?
Eti a.k.a yako ni ipi vileeeee.....

Shem mie mzima kabisa bila shaka nawe pia...

'Mume wangu' hiyo ndio a.k.a yangu shem
 
guys, let us put our idz aside, today we are going to generate new id's live from mmu..

what is your also know as name?

mi naitwa economiser!... wapi lara 1, The Boss, Heaven on Earth, Nyani Ngabu, Madame B, miss strong, miss chagga, Washawasha, Katavi, Ruttashobolwa(olinka iwe!), watu8..., Mr Rocky, LiverpoolFC, KakaKiiza, Shark, Eiyer, Bahati yangu, Invisible, Fang, Moderator... and all others!!!!

let us chart now..
548927_267774299994760_603538730_n.jpg
Ppl call me nai nai,twiga,dimpoz n'my late father used 2 cal me flamingo bcz am taller....lyk ol ma nicknames
 
Last edited by a moderator:
Life Goes On nikijitaja hapa naogopa watu wataconnect dots na kunijua
Ishia hapo hapo Mr Mwamba inatosha
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni msambaa mwenzangu.
Kataa.
Mndeee una visa iweeeeeeee, haya waghambie maana yakwe ushe!!!!!! Hahahaaaaa MANI njoo huko na zumbemkuu,
dada etu Madame B a.k. a Kighenda kashindwa kutoa maana ya nickname yangu hiii ya Shejawanangu, eti hawezi kuitamka vizuri maana kakulia town...ndee ya town
 
Last edited by a moderator:
Chuo walikua wananiita tundu lissu,wengine hadi leo deo hawalijui wameshazoea tundu,ila ukiniita the godson of zitto kabwe utakuwa hujakosea sana.
 
Enzi nasoma walikuwa wananiita "Eliumbo".
Nilipewa hilo jina baada ya kupenda mada ya Elimu ya Maumbo katika somo la Hisabati.

Now ofisini wananiita Madame Kijungu.
Sijui kwa nini!!!!
MMAHE.....habari yako, snowhite....habari yako binafsi.

mie mzima mdogo angu madame kijungu hahaaaa wala hawajakosea.

zamani nilikua naitwa mapoz sasa hivi naitwa Madame.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom