.....au mikonyezo.
Hahaaaa!!! Unawabariki wengi aiseee!!!!
Nikikuona tena ntakufanya ukumbuke hii post yako.
(Disclaimer!!! am not mfuasi wa vijungu)
hahahahahaha madame kijungu nimenunua miguu ya kuku sio mguu wa kuku plus mkuki(vile vitu vya kule arachuga)!, ila taratibu wakware wasikusikie hawakawii kunizungua!!
Weeeeeee nitaua, Mungu nitaenda kumalizana nae mbele kwa mbele, i know God likes strong arguments and i have even strongest, one day muibukie home umpe hi! (sasa hv ni meneja, unanipata?)Siku ile niliona wakware meza ya jirani wanavotoa macho.
Weeeeeee nitaua, Mungu nitaenda kumalizana nae mbele kwa mbele, i know God likes strong arguments and i have even strongest, one day muibukie home umpe hi! (sasa hv ni meneja, unanipata?)
aka ya Invizibo ni 'Kodokodo' yaani macho kama tochi muda wote yapo wazi tu
Mimi sijui tafsiri nyngne ya kuwa pair!, tafsiri yangu ndio hilo tukio! Hahahahahahaha. . . . .mama kijungu am just try to make your sunday good, hzo mbwembwe tu!