what is your nick name???..... forget about your id.. lets chill here!

Kuanza nini tena babu? Kaizer unaitwa huku na homuboi wako
Mie na Kaizer hatujakutana barabarani, na kizuri huwa tunakula pamoja..... Nadhani umenielewa Ennie. Karibu kwetu, karibu kwenye chama chetu, karibu kwenye undugu wetu.....

haa Ennie huyu Asprin nadhani umeshamjulia, ningeshangaa kama asingeuliza swali hilo, kifupi alikuwaga mwanafunzi bora darasani kwa kuuliza maswali, sasa mwambie hivii, tumeanza zamani sana kabla hajamjua cacico...LOL

Hommie imekuwaje unataka kuleta kesi ya kikatiba huku kwenye mabaraza ya kata??
 
Last edited by a moderator:
haa Ennie huyu Asprin nadhani umeshamjulia, ningeshangaa kama asingeuliza swali hilo, kifupi alikuwaga mwanafunzi bora darasani kwa kuuliza maswali, sasa mwambie hivii, tumeanza zamani sana kabla hajamjua cacico...LOL

Kumbeee! Ndio maana nilikuita.

Thank you Kaizer for the useful ufafanuzi.

Ngoja ni paste hapa,
' Asprin,tumeanza zamani kabla hujamjua cacico',angalizo NIMENUKUU TU.
 
Last edited by a moderator:

Huu ukaribisho umejaa bashasha sana,nasubiri muongozo wa Kaizer kabla ya kuupokea.
 
Last edited by a moderator:
hubby Asprin, hebu njoo chumbani, umeniacha mpweke na baridi hii huku fyatanga alone! usimwambie Kaizer kwamba sisi kwetu tunda ni daily hata kabla ya muadhini kuadhini! nakupenda hubby wangu, tukimalizanapo kumegana, sasa unipe ufafanuzi wa huyu Ennie!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…