tafta nicknam af takufikiria kdg
kuna mwingine humu humu kabisa nackia wanamuita zee la keki!
![]()
kye kye kye!!
umesababisha nimedondosha pande la dhahabu!!!
aisee!!
Naomba nikutafute umfundishe mdogo angu kukifanya chake naye kiwe thekthi!???
aithee kumbe upo?
umeshaingia pm ukaona yaliyojiri?
ze chemwali, we ni ntu ya wapi?