What is your favorite food?

Hapa mimi...penda na chinesse rice unatia shrimp

Hiyo huitwa 'mifan chao xia yu'...

Ukiacha hao kamba koti katika wali waweza kaanga na vipande vidogo vya nyama au mayai...halafu watia na zile recipes za kichina 'ziran'
 
Hapana chezea ugali chama choma aiseee...penda thana hii makitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…