What is your favorite food?

What is your favorite food?

Mahindi yanaliwa duniani kote japo ndiyo wakulima wengi wa nje hutumia mahindi kama chakula cha mifugo yao. Masuala ya wachina yana utata kwani wao wanakula kila kitu kasoro mavi ya binadamu tu, hivyo usiwatumie wao katika mifano yako. Wewe kama unakula ndizi kula tu kwani si ni chaguo lako, mie siwezi kula tunda na kufanya mlo big and that's the whole issue here. Nikilazimisha kula napatwa na ulcers ama naota ndoto za kunyongwa na kushindwa kulala usiku.
 
Hahaha nimekuwekea mfano mwingine wa tunda lako penzi la nanasi...rejelea yale maelezo yangu uone Wahindi namna wanavyopika nanasi

Najuwa how they do it, jirani yetu huwa anatia kwenye mboga zao ili kuleta radha na sometimes hutia kwenye keki. So the whole issue here ni kwamba nanasi linachanganywa na main course/dish ila si mboga, ni sawa tu kama vile unatia biringanya ama kitunguu na nyanya. watu8 naona unataka kunilazimisha kula tunda ili nipatwe na ulcers na ndoto za jinamizi, nitakuitia CCM wewe wakukate kucha na kukuchoma sindano ya usingizi, shauri yako.
 
Last edited by a moderator:
Ndizi ni tunda, hayo yote ni visingizo tu vya kutafuta soko. There's no country in Europe which has ndizi as their staple food, haya makampuni ya usafirishaji yanapeleka ndizi na some tropical fruits there kwa ajili ya foreigners waliopo kule. Yes, katika usafirishaji lazima zipelekwe ndizi mbichi kwa sababu given proper time zitaiva na kuuzika kirahisi kuliko kupelea zilizoiva kabisa. Kaka zangu wanafanya hii kazi ya kuuza matunda nje ya nchi na ndizi ikiwa ni moja ya hayo matunda. Hakuna mjadala hapa, ndizi si chakula ni tunda.

According to you ndizi ni tunda na siwezi kubadilisha msimano wako. Neither you utaweza kubadilisha msimamo wa wale wanaosema mahindi ni chakula cha mifugo, kwa sababu tuu wewe unaamini ni chakula kwako.

In deed, aliyekuwa anadai kuwa ndizi ni tunda tuu, ni huyo huyo United Brands aliyekuwa anataka kupanua soko lake kama unavyodai.

The fact that hakuna nchi Ulaya inayokula ndizi kama staple food, haina maana kuwa ndizi siyo chakula. Europe is not a point of reference ku-determine which is food and which is fruit.

Hiyo kesi nimekupa kama mfano tuu on the other point of view kuwa pamoja na argument kuwa Ulaya wanakula ndizi kama tunda, lakini wao wenyewe wanatambua, tena kisheria, kuwa ndizi ni zaidi ya tunda.

It would have been good if you have backed up your stance na evidence badala ya kusema tuu kuwa "Ndizi ni tunda, hayo yote ni visingizo tu vya kutafuta soko."

Unadai kuwa katika usafirishaji lazima zipelekwe ndizi mbichi kwa sababu given proper time zitaiva na kuuzika kirahisi kuliko kupelea zilizoiva kabisa.

Sijui unaongelea sehemu gani ya ulaya lakini pia kuna watu ulaya wanapika na kukaanga ndizi kwa ajili ya chakula. Ulaya wanauza pia ndizi mbichi kwa ajili ya kupika/kukaanga. Kuna Watanzania, Waganda, Wakongo, Wa-caribbean n.k Ulaya wanakula ndizi kama chakula.

Point yangu ni kwamba ndizi siyo tunda tuu, bali ni zaidi ya tunda tena kwa watu wengi sana duniani.

Hata hivyo, at the end of the day, anaye-determine whether ndizi ni tunda au chakula ni mlaji mwenyewe. Nakumbuka wakati wa ukame wa miaka 1980s, kijijini kwetu maembe yalikuwa ni kufungua kinywa, chakula cha mchana na jioni.
 
Hivi umeelewa nilijibu kwa context ipi? Haya ndiyo madhara ya kula matunda na kufanya kuwa chakula, naomba usome tena maoni ya EMT kwangu kisha unijibu. Nani aliyekuambia mimi nakula matunda na kulazimisha kuwa chakula, si bora ningekula nanasi maana ndilo tunda nilipendalo. Najuwa umekurupuka kujibu na ndiyo maana umeongea haya.

Mkuu nadhani umetumia neno 'kukurupuka' bila msingi wowote!
Kwanza kabisa kusema kwamba ndizi haziliwi Europe kama chakula ni kuonyesha utegemezi wako katika kuangalia na kutetea hoja, kwa nini uweke Europe kama kigezo cha hoja yako?
Pili kila jamii ina vyakula vyake vya asili ambavyo inawezekana jamii zingine wala hazitumii kama chakula kwa hiyo ukisema ndizi haziliwi ulaya kama chakula unataka kusema wazungu na sisi ni jamii moja.
Inawezekana wewe ndo hukuelewa maoni ya mheshimiwa, na narudia tena...kama huli ndizi kama msosi basi waachie wachagga na wahaya wale.
 
Jamani kweli uelewa ni kitu kigumu kwa wana JF wengine. Narudia tena kwa mara ya 100 ili nieleweke. Nimesema Ulaya kuwa ndizi haziliwi kama staple food because nilikuwa najibu hoja ya EMT, yeye alinishauri nisome ripoti/kesi moja mashuhuri sana ya United Brands vs European Commission. Na akasema kuwa "...United Brands walikuwa ni major suppliers wa ndizi kwenye Umoja wa Ulaya. Walikuwa wana-import ndizi mbichi na mbivu". Nami nikamjibu kutoka kwenye context hiyo, sasa nini hapa hakieleweki? Rudieni hayo maoni ya EMT kisha ndo mnijibu, msitokwe na mapovu tu. Sijamkataza mtu yeyote kula ndizi, nilisema na ninarudia tena binafsi sioni kama ndizi ni chakula na nikila napatwa na ulcers na kuota ndoto za majinamizi a.k.a. kuchinjwa na kulazimishwa kujiunga na CCM.
 
Last edited by a moderator:
......nilisema na ninarudia tena binafsi sioni kama ndizi ni chakula na nikila napatwa na ulcers na kuota ndoto za majinamizi a.k.a. kuchinjwa na kulazimishwa kujiunga na CCM.

Hahahahaaaa. Mie sipo hapo. Hizi ndizi za kijani hizi!

Inawezekana pia wewe ni Simba damu eh?
 
According to you ndizi ni tunda na siwezi kubadilisha msimano wako. Neither you utaweza kubadilisha msimamo wa wale wanaosema mahindi ni chakula cha mifugo, kwa sababu tuu wewe unaamini ni chakula kwako.

In deed, aliyekuwa anadai kuwa ndizi ni tunda tuu, ni huyo huyo United Brands aliyekuwa anataka kupanua soko lake kama unavyodai.

The fact that hakuna nchi Ulaya inayokula ndizi kama staple food, haina maana kuwa ndizi siyo chakula. Europe is not a point of reference ku-determine which is food and which is fruit.

Hiyo kesi nimekupa kama mfano tuu on the other point of view kuwa pamoja na argument kuwa Ulaya wanakula ndizi kama tunda, lakini wao wenyewe wanatambua, tena kisheria, kuwa ndizi ni zaidi ya tunda.

It would have been good if you have backed up your stance na evidence badala ya kusema tuu kuwa "Ndizi ni tunda, hayo yote ni visingizo tu vya kutafuta soko."

Unadai kuwa katika usafirishaji lazima zipelekwe ndizi mbichi kwa sababu given proper time zitaiva na kuuzika kirahisi kuliko kupelea zilizoiva kabisa.

Sijui unaongelea sehemu gani ya ulaya lakini pia kuna watu ulaya wanapika na kukaanga ndizi kwa ajili ya chakula. Ulaya wanauza pia ndizi mbichi kwa ajili ya kupika/kukaanga. Kuna Watanzania, Waganda, Wakongo, Wa-caribbean n.k Ulaya wanakula ndizi kama chakula.

Point yangu ni kwamba ndizi siyo tunda tuu, bali ni zaidi ya tunda tena kwa watu wengi sana duniani.

Hata hivyo, at the end of the day, anaye-determine whether ndizi ni tunda au chakula ni mlaji mwenyewe. Nakumbuka wakati wa ukame wa miaka 1980s, kijijini kwetu maembe yalikuwa ni kufungua kinywa, chakula cha mchana na jioni.

Mkuu EMT naona sasa unanilewa nilikuwa na maana gani kusema kuwa Ulaya ndizi zinapelekwa tu kule kwa ajili ya foreigners waishio kule na yote hiyo ni kwa ajili ya kupanua soko la ndizi. Umesema kuna wakongo, waganda, na watanzania ila pia kuna wa-caribbean kule ambao nao wanakula ndizi za kukaanga as a snack. In the Caribbean, wakati main food inapikwa watu uletewa ndizi za kuchoma zilizokatwa vipande vipande au za kukaanga kutafuna na kushushia bia kusubiri chakula kiive. Point hapa ni, zile ndizi zinapelekwa kule (Ulaya) for these people na wengine wote wanaokula hili tunda as a snack. Kufanya ndizi kuwa staple food ni mazoea tu. Narudia na naomba nieleweke, sijamkataza mtu yeyote kula ndizi, eat what you can.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa. Mie sipo hapo. Hizi ndizi za kijani hizi!

Inawezekana pia wewe ni Simba damu eh?

Mkuu EMT mie katika mpira wa Tanzania wala sipo kabisa, yaani siupendi hata kusikia jina tu sitaki. Mpira gani usiokuwa na maendeleo. Mwinyi was right kuuita kichwa cha mwenda wazimu, wachezaji hawafundishiki kazi kurogana tu na kurudishana nyuma kisoka/maendeleo. Sitaki kujipa pressure za kujitakia. Mie ni Man Utd. tu na Bayern FC, basi. Natanguliza shukrani kwa kunipa hongera ya kuchukua kombe la Ulaya mwaka huu. mwakani ni Man Utd.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
My favourate, hasa jioni nimetok job
Ila sipendi ziive sana, iwe kama half cooked

(ila sio kwa kulalia, just kupotezea muda)
Unamaanisha kama hii P?

DSC06581.JPG
 
watu8 mbona umeweka mavyakula unhealth unataka tutoke vitambi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom