What is your favorite food?

What is your favorite food?

Hupaswi kuwa na favourite food bwana, utakinai. Anything meaty inapendeka hapa.
 
Yeah tunakanda na tui..mie naweka hiliki samli kdg n blue band kdg hiliki hamira banking powder yai na sukar kiasi....ni mazuri sana

Eeeenh mnaonaaaa...yaani pilika zote hizo laandaliwa andazi tu...nyie kinamama mafundi sana
 
Ni bamia linalovutana limekatw vipande vidogodogo na kupikwa na maji pamoja na chumvi...tena linanoga likiwekwa uduvi au magadi...

Kiasili mlenda una majani yake yaitwayo majani ya mlenda na ndio hayo hupikwa...
Utumiaji wa bamia ni njia mbadala tu kwa watu wale wasoweza yapata hayo majani...
 
hapa mwake
nyama choma ugali


dsc00962.jpg
 
According to you ndizi ni tunda na siwezi kubadilisha msimano wako. Neither you utaweza kubadilisha msimamo wa wale wanaosema mahindi ni chakula cha mifugo, kwa sababu tuu wewe unaamini ni chakula kwako.

In deed, aliyekuwa anadai kuwa ndizi ni tunda tuu, ni huyo huyo United Brands aliyekuwa anataka kupanua soko lake kama unavyodai.

The fact that hakuna nchi Ulaya inayokula ndizi kama staple food, haina maana kuwa ndizi siyo chakula. Europe is not a point of reference ku-determine which is food and which is fruit.

Hiyo kesi nimekupa kama mfano tuu on the other point of view kuwa pamoja na argument kuwa Ulaya wanakula ndizi kama tunda, lakini wao wenyewe wanatambua, tena kisheria, kuwa ndizi ni zaidi ya tunda.

It would have been good if you have backed up your stance na evidence badala ya kusema tuu kuwa "Ndizi ni tunda, hayo yote ni visingizo tu vya kutafuta soko."

Unadai kuwa katika usafirishaji lazima zipelekwe ndizi mbichi kwa sababu given proper time zitaiva na kuuzika kirahisi kuliko kupelea zilizoiva kabisa.

Sijui unaongelea sehemu gani ya ulaya lakini pia kuna watu ulaya wanapika na kukaanga ndizi kwa ajili ya chakula. Ulaya wanauza pia ndizi mbichi kwa ajili ya kupika/kukaanga. Kuna Watanzania, Waganda, Wakongo, Wa-caribbean n.k Ulaya wanakula ndizi kama chakula.

Point yangu ni kwamba ndizi siyo tunda tuu, bali ni zaidi ya tunda tena kwa watu wengi sana duniani.

Hata hivyo, at the end of the day, anaye-determine whether ndizi ni tunda au chakula ni mlaji mwenyewe. Nakumbuka wakati wa ukame wa miaka 1980s, kijijini kwetu maembe yalikuwa ni kufungua kinywa, chakula cha mchana na jioni.

Nimesoma kwa umakiniiii weeee hadi hapo kwenye red nimecheka hadi office mate ananishangaa,yani the argument imekua serious mwishoni the humor jus made me laugh!!!!
 
wali maharage.

chef+issa+maharage+spice+%288%29.jpg

Huu ubwabwa wa maharage wa kishua sana. Unapatikana zaidi mitaa ya Upanga, Masaki, Oysterbay nakadhalika. Weka ule wa Tandale au Buguruni kwa mnyamani. Kitu wali nazi, harage nazi na maji ya kunawa yale maji ya nazi ya mwisho mwisho.
Usibonyeze. Full kucheua
 
Back
Top Bottom