What is your favorite food?

What is your favorite food?

Huu ubwabwa wa maharage wa kishua sana. Unapatikana zaidi mitaa ya Upanga, Masaki, Oysterbay nakadhalika. Weka ule wa Tandale au Buguruni kwa mnyamani. Kitu wali nazi, harage nazi na maji ya kunawa yale maji ya nazi ya mwisho mwisho.
Usibonyeze. Full kucheua
mpaka nahisi njaa
 
mkuu mi kwanza Pilau, pili Ugali ndio vinafuata vingine, na ni muhimu sana nyama isikose
 
Babu weeh!
Hujakutana na mpishi anaejua kuziswafi zikaswafika! Huoni wala kusikia mchanga hata tone. By the way dagaa wa kigoma na wa zanziba na wa nyasa hawanaga mchanga. Only wa mwanza. Dagaa is my fauvorite na nikipika utabloo
cc Donn mangi

wewe bwana uko kama kakangu mmoja. Eti hali smoked fish kama kambale na dagaa pia, kisa tu anawa-associate na umaskini. Hata akute kambale mkubwa, kaungwa na nazi na haijakatika tui, imechanganywa na bamia, viazi na nyanya chungu. Hagusi! Yuko kama mchawi yaani aagh!

Yani sijaona picha ila dah!nimeshiba kwa imagination.
ukiweka na kisamvu pembeni..mh!mh!mh!
 
View attachment 118265
===>Kelele zoote hizo mwisho ni hapa,kibaya zaidi na week end hii na kamvua haka ukijumlisha na Serengeti baridi,mambo shwari kabisa,
===>Baaadae ukirudi home unakaribishwa vizuri na Mama Yeyoo,NI NOUMA SANA!
 
Huu ubwabwa wa maharage wa kishua sana. Unapatikana zaidi mitaa ya Upanga, Masaki, Oysterbay nakadhalika. Weka ule wa Tandale au Buguruni kwa mnyamani. Kitu wali nazi, harage nazi na maji ya kunawa yale maji ya nazi ya mwisho mwisho.
Usibonyeze. Full kucheua

Hahahahaha hadi maji ya kunawa ni tui duh hatari kweli.
 
Back
Top Bottom