King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,976
Unaweka low power na usisage muda mrefu. Kitakuwa kama nazi hivi iliyokunwa.sasa kwenye blender ndo unatoka uji kabisa??
Unaweka low power na usisage muda mrefu. Kitakuwa kama nazi hivi iliyokunwa.sasa kwenye blender ndo unatoka uji kabisa??
watu8 mi hata chips mayai naikubali sijui nimesahauje aisee,napenda ndizi nyama ila chips mayai ya ukweli
Kitumbua cha ukweli,ila mi vitu kama mandazi zile mafuta zinanikinaisha
Hii unakosa nguvu za dushelele ikiwa ndiyo
chakula yako kila siku.
Watu8 wewe mbaya! Yaani umemuomba Bi Mkubwa akae nyuma wewe upige picha kwenye ofisi yake! Siyo vizuri japo umependeza.
Katika vyote hii ndo imenitoa mate!nyama choma ugali
![]()
Huyu Mkereketwa_Huyu anasema eti miaka ya 1970 ilikuwa inaliwa na watu maskini tena kwa usiri halafu ni chakula cha ng'ombe na sungura....unaamini hicho?
Inasikitisha na ni kweli picha ina lugha nyingi. Naona hapa kuna wanaogombania pumba na wanaojisevia kupiga magoli nyuma ya wenzao. Naona kuwa wengine wana usongo kabisa wa kula na wengine wanajisukimizia midushelele yao nyuma ya wenzao tena kwa hisia kali.Hawa ni mateka wa kivita? Au ni makruta wa alshabaab?![]()
Chakula kingine ambacho nakichukia ni dagaa wa Kigoma/Mwanza, yaani sielewi tu uzuri wake. Mtu badala ya kula na ku enjoy chakula unashinda kuvunja mawe mdomoni na kuharibu meno yako. Ndiyo maana wale dagaa wanaitwa misumari, ila ilibidi waitwe koleo ama nyundo.
hapo sawa kabisa,mmh hivi kisamvu inakaangwaje?kama mboga zingine?
Babu weeh!
Hujakutana na mpishi anaejua kuziswafi zikaswafika! Huoni wala kusikia mchanga hata tone. By the way dagaa wa kigoma na wa zanziba na wa nyasa hawanaga mchanga. Only wa mwanza. Dagaa is my fauvorite na nikipika utabloo
cc Donn mangi
wewe bwana uko kama kakangu mmoja. Eti hali smoked fish kama kambale na dagaa pia, kisa tu anawa-associate na umaskini. Hata akute kambale mkubwa, kaungwa na nazi na haijakatika tui, imechanganywa na bamia, viazi na nyanya chungu. Hagusi! Yuko kama mchawi yaani aagh!
I lived in Kigoma for a while mpaka nikajua Kiha kidogo, dagaa wao kuna wenye mchanga na siwapendi hata kidogo. Unakula samaki hana hata nyama ni miba tu na mchanga what the hell si bora kula panzi au panya?