hiyo ugali na mlenda...unafaham mlenda?
kwahiyo ugali hupendi eeh?
Hapa mimi...penda na chinesse rice unatia shrimp
mi napenda hii!!!ugali
![]()
hapa hunibandui ninavyopenda ndizi naweza kuzila daily!Ndizi nyama![]()
Nishatamani ugali asubuhi yote hii!nyama choma ugali
![]()
nyama choma ugali
![]()
hapa hunibandui ninavyopenda ndizi naweza kuzila daily!
mi napenda hii!!!
Nishatamani ugali asubuhi yote hii!
Kwanini unaguna?Mh!....
Wanafunzi wengi ni wahanga wa mimba kwa kitu hiki
a.k.a speed
loshoroooo
mleenda huo dah...Hicho cha juu green ndio nini?
Cc farkhinaKuna maandazi ya Kizanzibar hayo...sijui huwa wanayakanda na tui la nazi...ni matamu balaah!!