SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,028
- 5,359
Nikweli huwa nasema ukweli.Hata saa mbovu kuna muda husema ukweli! Hata shetani kuna muda hupata huruma tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli huwa nasema ukweli.Hata saa mbovu kuna muda husema ukweli! Hata shetani kuna muda hupata huruma tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma paragraph ya mwisho ndio utaelewa.Siye tulidhani una details za kutosha kumbe na wewe Unataka kujua
Sent using Jamii Forums mobile app
understood chief.The situation matters... The current situation favors the majesty so he is now on the pending mode till high season...
Jr[emoji769]
mkuu,ukiona hivyo ujue nyuzi joto la pasikali kuhusu musiba liko miamoja.Sijawahi kuona umeita mtu kilaza,unatukanwa sana humu,unakaa kimya,kimekupata nini striker wangu?
Chahali knows the answer....anapima tu kujua kama siye laymen wa JF tunajua chochote...Mkuu Chahali, wewe ni mtu mheshimiwa sana humu, unaaminika, usiwe unaulizia vitu trivial vya makorokocho kama huyo kilaza unayemuulizia. Unampa kichwa kuwa kumbe hadi watu muhimu wa uskochi wanamiss makorokocho ya kilaza Musiba!.
Stop that.
P
Mkuu Chahali, wewe ni mtu mheshimiwa sana humu, unaaminika, usiwe unaulizia vitu trivial vya makorokocho kama huyo kilaza unayemuulizia. Unampa kichwa kuwa kumbe hadi watu muhimu wa uskochi wanamiss makorokocho ya kilaza Musiba!.
Stop that.
P
Sijawahi kujuta kukupenda (kikazi) Pascal MayallaMkuu Chahali, wewe ni mtu mheshimiwa sana humu, unaaminika, usiwe unaulizia vitu trivial vya makorokocho kama huyo kilaza unayemuulizia. Unampa kichwa kuwa kumbe hadi watu muhimu wa uskochi wanamiss makorokocho ya kilaza Musiba!.
Stop that.
P
Mkuu Ngisibara, kumbe kuna wengi mnaosoma na kupenda makorokocho ya Musiba?!.Pascal acha utoto nikupe nasaha moja ya mwalimu wangu wa enzi hizo, kulikuwa na lecturer mtasha ambaye alikuwa ni mzee na alikuwa akitembea yeye ni full kuongea kwa sauti ndogo sana huku kuna wakati akipunga mikono hapa na pale akiwa peke yake, sasa pana siku tulifanya vibaya paper yake na yule lecturer mswahili akatuambia ...."musiwe wavivu wa kumsindikiza na kusikiliza anachoongea kwani mengine huwa anaongelea maswali ya mtihani wake"
Hivyo nakuomba kwa unyenyekevu kabisa futa hilo neno Makorokocho ama sivyo utapoteza ladha ya kachumbali yetu
Kumbe makorokocho mpo wengi....[emoji2][emoji2][emoji2]Na hiki ni nini????
Acheni imbea wa kike. Mnaumbuka sasa.View attachment 1015171
Sent using Jamii Forums mobile app
Muulize Magonjwa mtambuka atakua anajuaKwa siku kadhaa sijaona "taarifa za habari za Musiba" kwenye chaneli yake na Tanzanite TV huko YouTube, na kwa siku kadhaa gazeti lake la Tanzanite halipo mtaani. Kulikoni?
“The FBI don’t come and ask you if you know someone if they don’t already know the answer.” [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
The guy is just from another useless planet. Sijui huwa anafikiri nini. Kujenga nchi ni kazi yetu sote, ila sio kwa namna ya kuchafuana bila sababuMkuu Chahali, wewe ni mtu mheshimiwa sana humu, unaaminika, usiwe unaulizia vitu trivial vya makorokocho kama huyo kilaza unayemuulizia. Unampa kichwa kuwa kumbe hadi watu muhimu wa uskochi wanamiss makorokocho ya kilaza Musiba!.
Stop that.
P
Umtag kwa zile ID zake humu atakujibu ila kingine na wewe unajishushia heshima kumuulizia kilaza kama yuleKwa siku kadhaa sijaona "taarifa za habari za Musiba" kwenye chaneli yake na Tanzanite TV huko YouTube, na kwa siku kadhaa gazeti lake la Tanzanite halipo mtaani. Kulikoni?
“The FBI don’t come and ask you if you know someone if they don’t already know the answer.” [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Sentensi ya mwisho kuhusu FBI imebeba kiini cha taarifa yako.Kwa siku kadhaa sijaona "taarifa za habari za Musiba" kwenye chaneli yake na Tanzanite TV huko YouTube, na kwa siku kadhaa gazeti lake la Tanzanite halipo mtaani. Kulikoni?
“The FBI don’t come and ask you if you know someone if they don’t already know the answer.” [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app