My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
Siye tulidhani una details za kutosha kumbe na wewe Unataka kujuaKwa siku kadhaa sijaona "taarifa za habari za Musiba" kwenye chaneli yake na Tanzanite TV huko YouTube, na kwa siku kadhaa gazeti lake la Tanzanite halipo mtaani. Kulikoni?
“The FBI don’t come and ask you if you know someone if they don’t already know the answer.” [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app