What happened to Musiba/Tanzanite?

Kwa siku kadhaa sijaona "taarifa za habari za Musiba" kwenye chaneli yake na Tanzanite TV huko YouTube, na kwa siku kadhaa gazeti lake la Tanzanite halipo mtaani. Kulikoni?

“The FBI don’t come and ask you if you know someone if they don’t already know the answer.”

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo sentensi ya mwisho ndiyo naitafakari.
 
Kwa siku kadhaa sijaona "taarifa za habari za Musiba" kwenye chaneli yake na Tanzanite TV huko YouTube, na kwa siku kadhaa gazeti lake la Tanzanite halipo mtaani. Kulikoni?

“The FBI don’t come and ask you if you know someone if they don’t already know the answer.”

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Chahali, wewe ni mtu mheshimiwa sana humu, unaaminika, usiwe unaulizia vitu trivial vya makorokocho kama huyo kilaza unayemuulizia. Unampa kichwa kuwa kumbe hadi watu muhimu wa uskochi wanamiss makorokocho ya kilaza Musiba!.
Stop that.
P
 
Labda analeta choko choko kwa makusudi yake binafsi... Anajua anachokitafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Chahali, wewe ni mtu mheshimiwa sana humu, unaaminika, usiwe unaulizia vitu trivial vya makorokocho kama huyo kilaza unayemuulizia. Unampa kichwa kuwa kumbe hadi watu muhimu wa uskochi wanamiss makorokocho ya kilaza Musiba!.
Stop that.
P
Paskali hupendeki yani kuna wakati unakuwa na akili ila mwezi ukishaandama basiiii

Leo umenifurahisha kumbe hata wewe unatambua upopoma wa msiba
 
Mkuu Chahali, wewe ni mtu mheshimiwa sana humu, unaaminika, usiwe unaulizia vitu trivial vya makorokocho kama huyo kilaza unayemuulizia. Unampa kichwa kuwa kumbe hadi watu muhimu wa uskochi wanamiss makorokocho ya kilaza Musiba!.
Stop that.
P
Mkuu si anajiita mtetezi na JPM na wanahakati huru wakati huo huo anatoa taarifa ambazo anaziita za kiusalama wa nchi sijui amanisha usalama gan hasa
 
Mkuu Chahali, wewe ni mtu mheshimiwa sana humu, unaaminika, usiwe unaulizia vitu trivial vya makorokocho kama huyo kilaza unayemuulizia. Unampa kichwa kuwa kumbe hadi watu muhimu wa uskochi wanamiss makorokocho ya kilaza Musiba!.
Stop that.
P

Huyo jamaa hana hata sifa ya kuwa kilaza. Kuwa kilaza kuna vigezo na sifa zake, jamaa hana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom