What happened to Musiba/Tanzanite?

What happened to Musiba/Tanzanite?

Mkuu Chahali, wewe ni mtu mheshimiwa sana humu, unaaminika, usiwe unaulizia vitu trivial vya makorokocho kama huyo kilaza unayemuulizia. Unampa kichwa kuwa kumbe hadi watu muhimu wa uskochi wanamiss makorokocho ya kilaza Musiba!.
Stop that.
P
Aise; bado natafakari kama ni wewe kaka mkubwa ndio umeandika hivi au computer ya ofisi umeiacha ON and hence one of your staff kafanya yake?
 
Kwa siku kadhaa sijaona "taarifa za habari za Musiba" kwenye chaneli yake na Tanzanite TV huko YouTube, na kwa siku kadhaa gazeti lake la Tanzanite halipo mtaani. Kulikoni?

“The FBI don’t come and ask you if you know someone if they don’t already know the answer.” [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Chahali hapa hujauliza swali,ila umeuliza jibu/jawabu.Tunaomba swali kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa siku kadhaa sijaona "taarifa za habari za Musiba" kwenye chaneli yake na Tanzanite TV huko YouTube, na kwa siku kadhaa gazeti lake la Tanzanite halipo mtaani. Kulikoni?

“The FBI don’t come and ask you if you know someone if they don’t already know the answer.” [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe jibu boss... (kama quote yako hapo chini inavyo tanabaisha)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Musiba akizungumzia swala la DED itigi mnitag nije nisome ameandika nini au ameongea nini huyu wa kuitwa mzalendo.

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Mkuu Chahali, wewe ni mtu mheshimiwa sana humu, unaaminika, usiwe unaulizia vitu trivial vya makorokocho kama huyo kilaza unayemuulizia. Unampa kichwa kuwa kumbe hadi watu muhimu wa uskochi wanamiss makorokocho ya kilaza Musiba!.
Stop that.
P
Sijawahi kuona umeita mtu kilaza,unatukanwa sana humu,unakaa kimya,kimekupata nini striker wangu?
 
Kwa siku kadhaa sijaona "taarifa za habari za Musiba" kwenye chaneli yake na Tanzanite TV huko YouTube, na kwa siku kadhaa gazeti lake la Tanzanite halipo mtaani. Kulikoni?

“The FBI don’t come and ask you if you know someone if they don’t already know the answer.” [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kasafiri au anaumwa
 
Mkuu Chahali, wewe ni mtu mheshimiwa sana humu, unaaminika, usiwe unaulizia vitu trivial vya makorokocho kama huyo kilaza unayemuulizia. Unampa kichwa kuwa kumbe hadi watu muhimu wa uskochi wanamiss makorokocho ya kilaza Musiba!.
Stop that.
P
Well said Paschal, kuna vilaza hata hawatakiwi kujulikana uwepo wao!
 
Mkuu Chahali, wewe ni mtu mheshimiwa sana humu, unaaminika, usiwe unaulizia vitu trivial vya makorokocho kama huyo kilaza unayemuulizia. Unampa kichwa kuwa kumbe hadi watu muhimu wa uskochi wanamiss makorokocho ya kilaza Musiba!.
Stop that.
P
kunywa soda mwanahabari mwenzangu Bravo big point
 
Zaburi 9

18 Kwa maana mhitaji hatasahauliwa daima; Matumaini ya wanyonge hayatapotea milele.
19 BWANA, usimame, mwanadamu asipate nguvu,Mataifa wahukumiwe mbele zako.
20 BWANA, uwawekee kitisho,Mataifa na wajijue kuwa ni binadamu.

Neno la uzima
 
Inawezekana wenye hekima wameshauri mahala juu ya kuendekeza ujinga na upumbavu wa huyo jamaa.
Wenye hekima walishaanza kuona athari za kumuacha mtu kama huyo kuendeleza ujinga wake na kuamua kushauri mahala kwa hekima na busara ili iwe rahisi kueleweka na hatimaye jamaa kunyamazishwa na ujinga wake tena awe makini maana bila shaka unafikiri madhara ya kazi yako ya zamani ukishatumika na ukiwa hauna kazi tena.
 
Kwa siku kadhaa sijaona "taarifa za habari za Musiba" kwenye chaneli yake na Tanzanite TV huko YouTube, na kwa siku kadhaa gazeti lake la Tanzanite halipo mtaani. Kulikoni?

“The FBI don’t come and ask you if you know someone if they don’t already know the answer.” [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yuko kwenye msiba wa mgunduzi wa Tanzanite mzee Ngoma!
 
Mkuu Chahali, wewe ni mtu mheshimiwa sana humu, unaaminika, usiwe unaulizia vitu trivial vya makorokocho kama huyo kilaza unayemuulizia. Unampa kichwa kuwa kumbe hadi watu muhimu wa uskochi wanamiss makorokocho ya kilaza Musiba!.
Stop that.
P
ni kama vile anajua nini kimetokea,ila anajaribu kutoa taarifa kishushushuu humu jukwaani.
 
Back
Top Bottom